Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Kadushik, hebu tufafanulie vizuri kuhusika kwa Membe ktk suala la OIC.
 
Ben, kabla ya kuifunga thread hii itapendeza sana kama GT atakuja na ushahidi wa shutuma zake nzito kwa Membe. Kimsingi shutuma hizi sio ngeni ktk ulingo wa siasa, lakini nimekuwa very much interested because haya ndio maneno wanayosambaza maadui zake Membe kisiasa. Ni wao ndio wanaotaka Urais, tena sio mwaka 2015, wao wanataka mwaka huu, wakishindwa ndio watapeleka nguvu zao 2015. Natafuta connection kati ya GT na hawa jamaa ili nimuelewe vizuri kiumbe huyu wa Mungu, maana wahenga walisema, "Kikulacho ki nguoni mwako". Nikilikamilisha hili, nitatamka majina ya kila mmoja aliye nyuma ya GT kumshambulia Membe na NITATOA USHAHIDI wa kila nitakachosema. Come out GT...
 
Mimi nadhani kuna mgongano wa mambo ya siasa za Lindi huko, na mambo ya Mambo ya Nchi za Nje na mgongano ule mwingine (ambao ni wa kibinafsi zaidi). Ndio maana wengine inabidi tukae pembeni na popcorn zetu.
 
Chechetuka acha jazba.GT yuko safarini baada ya masaa manane ataingia.hapa usiwe na wasi wasi.
 
Mzee Mwanakijiji, hapo nakupa heshima yako mkuu, inaonyesha ni kiasi gani umekula chumvi na kuelewa mambo. Mimi namtaka GT ae na ushahidi wa shutuma alizozitoa kwa Membe. Nataka kujua:

Amesema Membe ni muongo, ATUTHIBISHIE huo uongo wake
Amesema Membe anahatarisha usalama wa nchi, ATUELEZE na KUTUTHIBISHIA anahatarisha vipi
Amesema Membe anahatarisha maslahi ya Taifa, ATUELEZE na KUTUTHIBITISHIA anahatarisha vipi
Yamesemwa kuwa Membe anataka Urais mwaka 2015, ATUELEZE na KUTHIBISHA alimsikia lini na wapi Membe akitamka kutaka kugombea Urais mwaka 2015?

Heshima ya GT itaeleweka kama atajibu kwa ufasaha maswali hayo hapo, kinyume na hapo, huyu nitamuweka ktk kundi la wanasiasa wanaompiga vita Membe kwa kumuogopa kuwa atakuja kuharibu maslahi zao.

Muda muafaka utakapofika, wakati namtengeneza vizuri GT nitataja majina ya kundi hilo na wanavyojiandaa kuwania Urais mwaka huu, na mwaka 2015.
 

Kanda2
Mimi sina jazba, nafurahi kujua kuwa wewe ni mtu wa karibu wa GT kiasi hicho, maana unajua kuwa yupo safarini sasa hivi na atawasili baada ya muda fulani. Jitahidi kumsihi, akifika ajibu maswali yangu ya msingi ili tuweke rekodi sahihi ktk umma wa JF na wasomaji wengine. Usitie hofu, maana hata wewe siku utakayoshutumiwa bila ushahidi wa msingi, na kama nitakuwa najua ukweli wake, NITAKUTETEA mpaka dakika ya mwisho.
 
Kanda2 Mimi sina jazba, nafurahi kujua kuwa wewe ni mtu wa karibu wa GT kiasi hicho, maana unajua kuwa yupo safarini sasa hivi na atawasili baada ya muda fulani. Jitahidi kumsihi, akifika ajibu maswali yangu ya msingi ili tuweke rekodi sahihi ktk umma wa JF na wasomaji wengine. Usitie hofu, maana hata wewe siku utakayoshutumiwa bila ushahidi wa msingi, na kama nitakuwa najua ukweli wake, NITAKUTETEA mpaka dakika ya mwisho.

Mkuu mimi sio mtu wa karibu wa GT tumejuana hapa hapa JF na nilimtumia PM kwake ili aje kujibu.akasema kuwa atakuwa safarini kwa muda huo.hivyo wakati tukimsubiri wewe jenga hoja zaidi ili akija naye ajibu.nashukuru kama nami utanitetea kama unavofanya kwa Membe.ILA KAMA nitakuwa na matatizo usinitete kwani nitakuwa naharibikiwa badala ya kujirekebisha. kama ni Muongo dawa yake ni kuacha sio kutetewa na Chechetuaka au GT.
 
please JK replace this woman ASAP
she is not up to the job

Ni vizuri kujua hulka ya watu unaotaka kuwahutubia au kuongea nao; sasa wewe Semilong mkuu unamshauri muungwana amtoe huyo mama London as our High commissioner!! Unafahamu muungwana na huyu mama wametokea wapi katika ukaribu wao? You are suggesting an impossibility; liwe na liwalo huyu mama atakaa pale for strategic personal reasons mpaka muungwana amalize ngwe yake. Kama huamini God willing utakujakumbuka haya niliyoandika muda wake utakapofika!!
 
Kanda2, tatizo langu ni kuwa, huyu Membe ni kiongozi ktk Serikali, hata kama hapendwi na baadhi ya watu wachache, lakini ukweli ni kuwa yeye ni kiongozi. Kama kweli ana matatizo ni vizuri yakawekwa wazi ili tumseme, na kumkanya ayaache. Tutafanya hivyo kwa sababu kubwa moja tu, ni kuwa yeye ni kiongozi ktk Chama na Serikali.

Kitu ambacho sikubaliani nacho ni kuwa, tusimshutumu mtu kwa "kudhania au kutafsiri", this is very bad. Kama jambo mtu hana uhakika nalo basi akae kimya. Mbona Mzee Mwanakijiji amekaa kimya ktk issue hii? Ni kuwa hajaielewa vizuri, maana mtoa hoja hajaiweka sawa, imekuja kimajungu majungu tu, ndio maana haina tija.

Tujitahidi kuwa "constructive" ktk hoja tunazozitoa humu JF, otherwise, wasomaji wapya wakija WATATUDHARAU na KUTUCHEKA.

Baada ya kusema hayo, napenda kutuma ujumbe kwa GT kuwa, leo sitalala mpaka kieleweke. Nataka kuiweka sahihi rekodi ya jambo hili.
 
Chechetuka umechechetuka kweli kweli. Umesahau JF ni ukumbi wa dataz? za kweli na za uongo. Za uongo zikitolewa juu yako basi imekula kwako. Kuliko kusubiri mleta dataza aje kukanusha uongo, eleza ukweli wako.

Acha kuchechetuka, JF we dare to talk openly.
 
Stop fishing expedition u will end up catching killer wale then u wll be its good breakfast
 
GT, ktk thread hii nitakufa nawe. Nasema hivi kwa sababu najua mengi sana, bahati mbaya yale niyajuayo ndio umeyaleta hapa. Wewe sio mkweli wa kuaminiwa. Naenda kudunda mzigo, lakini nakuhitaji ujitokeze, or else nitakuumbua sana, na heshima uliyojijengea ktk JF itapungua kama sio kufa kabisa. Naomba kukuita FISADI mtoto kwa sasa wakati naondoka.

Mkuu kwa nini wewe unataka kufa na GT? Hapa hatuuani ni kutoa facts tu na hoja hakuna kuuana. Mbona umekuja kwa vitisho? Je, wewe pamoja na Membe ni ndugu? Je, unapata chochote hadi kuja kutishia uhai wa members hapa kwenye jamvi letu? Tuletee facts hapa na wala sio vitisho. Je, unaweza kutueleza umejuaje siri za foreign affairs au wewe ni askari kanzu? Je, wewe ni mtetezi wa wafuja fweza za walipa kodi?


BTW GT huenda anapiga mluzi tu hivi sasa lakini mara atakapokuja kujibu tuhuma tuwe wakweli where we dare to talk openly.


Kudos JF - BRAVO JF - SHUKRANI JF
 
Ni vizuri kujua hulka ya watu unaotaka kuwahutubia au kuongea nao; sasa wewe Semilong mkuu unamshauri muungwana amtoe huyo mama London as our High commissioner!! Unafahamu muungwana na huyu mama wametokea wapi katika ukaribu wao? You are suggesting an impossibility; liwe na liwalo huyu mama atakaa pale for strategic personal reasons mpaka muungwana amalize ngwe yake. Kama huamini God willing utakujakumbuka haya niliyoandika muda wake utakapofika!!

Wewe jamaa muongo kama Membe.Huyu Mama hana njaa ana kampuni kubwa sana ya uwakili.www.rexattorney.co.tz kukubali nafasi ya kuwa ballozi ni kujipunguzia mapato yake ni Corporate Lawyer huyu mama sio Majura Magafu mtu wa mens reus, mama amejikita mikataba ya makampuni makubwa tizama clients wake ni kampuni gani. what is Balozi kwake? usilolijua ni usiku wa kisa. unajua maana ya Corporate Lawyer?
 
Wewe jamaa muongo kama Membe.Huyu Mama hana njaa ana kampuni kubwa sana ya uwakili.www.rexattorney.co.tz kukubali nafasi ya kuwa ballozi ni kujipunguzia mapato yake ni Corporate Lawyer huyu mama sio Majura Magafu mtu wa mens reus, mama amejikita mikataba ya makampuni makubwa tizama clients wake ni kampuni gani. what is Balozi kwake? usilolijua ni usiku wa kisa. unajua maana ya Corporate Lawyer?

Pole pole mkuu unaweza kuwa na kampuni kubwa ya wizi. Si umeona RBS, Barclays et al jinsi walivyoiingiza mkenge dunia nzima kwenye recession. Vipi Toyota? Usitake tupime mawazo na uelewa wako kama Great tinker weka facts tu mkuu.
 
Kanda2,
Kama corporate lawyer kuna tija kuliko ubalozi mbona huyo mama yuko London mpaka sasa?
There must be something in it. Na hii tabia ya kuwaita watu usiokubaliana nao kuwa waongo si tabia nzuri, ndugu yangu. Bulesi katoa point zake na wewe mwaga zako na sisi kadamnasi tuamue.
 
Kanda2,
Kama corporate lawyer kuna tija kuliko ubalozi mbona huyo mama London mpaka sasa?
There must be something in it. Na hii tabia ya kuwaita watu usiokubaliana nao kuwa waongo si tabia nzuri, ndugu yangu. Bulesi katoa point zake na wewe mwaga zako na sisi kadamnasi tuamue.


Nimesema jamaa ni Muongo na sitafuta kauli yangu.amesema kuwa Mama huyu akakuwa hadi mwisho wa utawala wa JK kama balozi London. huo ni Uongo mkubwa sana. Aidha kitendo cha mama huyu kukubali kuwa balozi London ni sawa na kina Drogba au micheal Essien kukubali kuchezea timu zao za Taifa, hawachezea timu hizo kwa vile wanapata pesa bali wanatumikia Taifa.pesa ziko kwenye vilabu vyao.

Hivi sasa Membe anapita mitaani na kuwalaghai watu mbali mbali kuwa atawapeleka kuwa balozi London.
 
Kanda2,
Kama corporate lawyer kuna tija kuliko ubalozi mbona huyo mama London mpaka sasa?
There must be something in it. Na hii tabia ya kuwaita watu usiokubaliana nao kuwa waongo si tabia nzuri, ndugu yangu. Bulesi katoa point zake na wewe mwaga zako na sisi kadamnasi tuamue.

Bulesi kasema uongo lazima nimuite muongo,mzushi na mzandiki. sina jina lingine la kumwita.tusubiri mabadiliko ya mabalozi yatatokea muda si mrefu kuthibitisha uongo wa Bulesi.kwani tayari Membe ana balozi wake mfukoni anayempeleka London.hizo ndizo habari.
 
Hivi Waziri ndio mwenye dhamana ya kuchagua balozi?
 
Back
Top Bottom