Membe S K
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 1,407
- 1,302
Wakati watu wanafikiria siasa za Kyela kule.. siasa nyingi za mwaka huu zitakuwa ni huko Lindi.. kutanoga!!
Mwanakijiji, kama una maana kwenye jimbo la Membe kule hakuna kitakachonoga mana hakuna mpinzani anayemnyima usingizi Membe....mpinzani wa Membe ni Shaibu ambaye yeye kazi yake kila uchaguzi nikutafuna ela za wapinzani wa Membe (RA, EL & Co) huku akiwaambia wapiga kura wake wampigie Membe!!
Kutakakonoga ni jimbo la Mudhihiri (Mchinga) ambalo hadi sasa tayari watu 7 wametangaza kuchuana naye akiwemo dada moja mashuhuri Mayasa, jimbo la lindi mjini, na Rwangwa (ambako Majogo anapiga speed za kurudi).