Membe kuwania urais 2015...

Membe kuwania urais 2015...

Mimi nadhani kuna mgongano wa mambo ya siasa za Lindi huko, na mambo ya Mambo ya Nchi za Nje na mgongano ule mwingine (ambao ni wa kibinafsi zaidi). Ndio maana wengine inabidi tukae pembeni na popcorn zetu.
Mkuu nakupa heshima kubwa kwa hili maana naona hii issue kama ni ya kupikwa pikwa hivi. Bila kutoa ushahidi tutasemaje kama Membe has jeopardized nation interest au Membe ni mtu muongo? Pengine wanaosupport hilo hii thread watupe vigezo na ushahidi ni kwanini wanataka tuwaamini wako sahihi?
 
Waswahili walisema panapofuka moshi ... ... ... ... ....tuna great tinkers hapa wala usiwe na shaka watu wako jikoni chakula bado pakuliwa unless GT aje hapa kusalimu amri ya member kama alivyosema amejiunga jana tu.

Khe khe khe Khee sasa sijui nani atakuja na hiyo white flag.
 
- Unajua ni muda mchache tu uliopita mtu amenitonya kwamba kuna Membe kwenye hii thread, duh! haya wanangu wekeni vitu hapa saafi sana!

Respect.

FMEs!
 
Mzee wangu FMEs, Membe hana muda wakuja hapa, the guy has a job to do; he has no time to rest. Wanaomfagilia hapa ni aidha wapambe wake au watu wanaoona anafanya kazi yake vizuri. Period.

FMEs, take my words. He isn't here and he will never be here; but his fans.
 
Mkuu amechangia kiasi kwenye mjadala huu kwa jina fulani,soma utagundua.
 
NINA SWALI HAPA:

Hivi kuna kiongozi MUISLAAM ambaye alishawahi kushambuliwa na Game Theory?

Naomba jibu la ndiyo au hapana kama una uhakika ili niweke rekodi zangu sawa. Tafadhali usiingize story zaidi au maneno mengi ambayo mie siyataki. Jibu fupi tu nahitaji.

Mkuu mbona uko kimya nimekujibu jana.kuwa ni Mkulo Mustafa,Zitto Kabwe, Kubenea, Shamsa Mwangunga.,

LAKINI LABDA Ufuatilie sana posts za Game Theory hajaacha kushambulia watu hasa hao unaosema kuwa ni waislam.Mfano kamshambulia JK kwenye mada nyingi sana kuliko hizi mbili za Membe,

kamshambulia Mkuu wa Usalama wa Taifa na idara kwa ujumla mkuu wa Usalama ni Muislam tizama vizuri utaona hilo,

Kamshambulia sana Rostam Aziz na kulikuwa na mchango wa kuchangia gazeti la Mwanahalisi hapa JF wakati ule ambapo Rostam Aziz alilipeleka gazeti hilo mahakamani.bila kumsahau Waziri Jumanne magembe, au tizama thread ya Waziri Juma Kapuya na Akudo Impact Band akimsaga waziri Kapuya.

GT kwenye mada nyingi tu kamshambulia Rostam.na Yusuf Manji. kamshambulia Balozi Majaar, Ridhwan Kikwete,Marehemu Amina Chifupa, Juma Pinto,

unaweza kujiridhia kwa kupitia posts zake ambazo ziko humu.kwa hiyo jibu ni ndiyo kashawahi mara nyingi kuwashambulia viongozi waislam lakini hajawahi kumshambulia john Malecela,Anna kilango,John MAGUFURI, Naibu waziri Chami.
 
GT nadhani ufike mahali u-swallow pride yako na kukubali kwamba wewe umeteleza nawaungwana huwa wanakubali na kuzama msituni ili next time ukileta thread iwe na mashiko. Bwana GT alichotufundisha ni kwamba dunia hii bado ina watu ambao si makini na wanaosaliti usomi wao kutokana na vitendo vyao vya kukurupuka na kutumiwa. Ananikumbusha mwalimu aliyekuwa hodari wa kuwakosesha wanafunzi wakati yeye mwenyewe akiwa hajui majibu sahihi kwa maswali aliyowakosesha wanafunzi. Huwezi kusema kwamba kitu fulani si sahihi mpaka utakapojua kipi ni sahihi.

Kiongozi aliyepewa dhamana ni lazima awe mtu mwenye maadili na inapotokea kiongozi akawa wa ovyo kama wewe ulivyojaribu kuonyesha, unatakiwa kutoa hoja za kuunga mkono tuhuma zako, hasa zinapokuwa tuhuma nzito kama ulizozitoa dhidi ya Membe. Sasa watu wenye akili zao wakihoji na kukuchagiza utoe ushahidi unaanza kuwashambulia kwa maneno machafu na ya kejeli. Ukweli ni kwamba wewe umekuwa motivated na hoja dhaifu za maadui wake wa kisiasa ambao wanadhani kwamba yeye ni threat kwa presidential ambitions zao. Hawa ni watu ambao wamehukumiwa na Watanzania kutokana na vitendo vyao vya kupora utajiri wa nchi hii. Wanachofanya ni ku-escalate tuhuma ili mwisho wa yote wawachanganye watanzania ili wasijue msafi na mchafu na GT anaonekana kuwa wakala (kwa kujua au pasipo kujua maskini!). Ifike wakati tuache ku-admire watu wanaofanya looting na kulea hii culture ya impunity. Bwana GT kama anaumwa na maovu ya viongozi wetu na uchungu na taasisi zetu, amulike pia yale yanayotokea au yaliyotokea NSSF.
 
Mzee wangu FMEs, Membe hana muda wakuja hapa, the guy has a job to do; he has no time to rest. Wanaomfagilia hapa ni aidha wapambe wake au watu wanaoona anafanya kazi yake vizuri. Period.

FMEs, take my words. He isn't here and he will never be here; but his fans.

Fans for what?
 
[/COLOR][/B]

Mkuu mbona uko kimya nimekujibu jana.kuwa ni Mkulo Mustafa,Zitto Kabwe, Kubenea, Shamsa Mwangunga.,

LAKINI LABDA Ufuatilie sana posts za Game Theory hajaacha kushambulia watu hasa hao unaosema kuwa ni waislam.Mfano kamshambulia JK kwenye mada nyingi sana kuliko hizi mbili za Membe,

kamshambulia Mkuu wa Usalama wa Taifa na idara kwa ujumla mkuu wa Usalama ni Muislam tizama vizuri utaona hilo,

Kamshambulia sana Rostam Aziz na kulikuwa na mchango wa kuchangia gazeti la Mwanahalisi hapa JF wakati ule ambapo Rostam Aziz alilipeleka gazeti hilo mahakamani.bila kumsahau Waziri Jumanne magembe, au tizama thread ya Waziri Juma Kapuya na Akudo Impact Band akimsaga waziri Kapuya.

GT kwenye mada nyingi tu kamshambulia Rostam.na Yusuf Manji. kamshambulia Balozi Majaar, Ridhwan Kikwete,Marehemu Amina Chifupa, Juma Pinto,

unaweza kujiridhia kwa kupitia posts zake ambazo ziko humu.kwa hiyo jibu ni ndiyo kashawahi mara nyingi kuwashambulia viongozi waislam lakini hajawahi kumshambulia john Malecela,Anna kilango,John MAGUFURI, Naibu waziri Chami.

Not easy to change our 'stereotype' about GT; he is a religious fanatic, he sees most of the issues from the religious angle!!
 
- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?

Mkuu FMES,

Mbona ni mapema sana? Miaka mitano ni mingi sana kwenye siasa.

Mambo yote yasipobadilia, mimi nitamfagilia mama Magiro kwa mwaka 2015. Umefika wakati wa kuongozwa na mwanamke maana kama ni wanaume tumevuruga vya kutosha.
 
Mkuu,
Kwa nini unadhani Membe ana nafasi kubwa wakati hafahamiki sana kwa wananchi beyond his neighbourhood?

Kwa maono yangu ni kuwa, kama JK akiruhusiwa kuendelea na uraisi, basi 2015 tunaweza tusiwe na uchaguzi maana nchi itakuwa iko kwenye civil war au vurugu nyingine zinazofanana na Civil War. Mola tuepushe na hili.
 
Siasa bana.....badala kuonyesha makeke kutumikia watanzania watu wanajipanga kuingia Ikulu. Na wakifika Ikulu hakuna miujiza yeyote wanayotuletea! Wana-mtandao walijipanga for ten years kuingia ikulu, na walipoingia mbona afadhali ya jana!
 
Mkuu,
Kwa nini unadhani Membe ana nafasi kubwa wakati hafahamiki sana kwa wananchi beyond his neighbourhood?

Kwa maono yangu ni kuwa, kama JK akiruhusiwa kuendelea na uraisi, basi 2015 tunaweza tusiwe na uchaguzi maana nchi itakuwa iko kwenye civil war au vurugu nyingine zinazofanana na Civil War. Mola tuepushe na hili.
Akiruhusiwa?!! na nani? Jamaa ni Rais mpaka 2015, usilete rongorongo zako hapa, jaribu kuleta fujo uone.
 
Mwaka 2035 Mimi nitakuwa ndo Raisi wa Tanzania, nitaandaa mchakato wote na kuanza kuutangaza
 
- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?

Respect.

FMEs!
Huu ni upotoshaji,kwa nini kuzungumzia 2015 badala ya 2010? Tunataka Rais mpya 2010 kisha tutajadili hayo ya 2015.
 
Matumizi ya pesa kwenye uchaguzi yamebanwa kwelikweli. Rais mpya hakuna 2010. Hata upinzani hawaweki mtu.
 
Back
Top Bottom