Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
- Dalili zote huko nyuma ya mlango according to the dataz, zinaonyesha kwamba Waziri Membe ana nafasi kubwa sana ya kushika nchi ifikapo mwaka 2015, sio vibaya kwa sisi wananchi tukaanza kujiuliza mapema je tunaweza kuwa better off na Membe kuliko wengine na hawa wa sasa? Au yatakuwa ni yale yale?
Respect.
FMEs!
hana akili ,hana upeo ,mwingi wa blah blah hafai hata kukaa hapo alipo sasahivi sembuse urais