Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
MODS mtafanya la maana kama mtaifunga hii thread. Maana mpaka imefikia page ya nane lakini hamna substance. Kuendelea kwa thread hii itakuwa ni matumizi mabaya ya JF. Kama vipi muihamishie hii thread kwenye PM za hawa waarabu wa Pemba GT vs Chechetuka bin Chetuuu, maana ni wazi hawa ni malenga wenye nia ya kuleta sanaa za majigambo na mipasho. Sasa twaomba wapatiwe ukumbi private huko waoneshane umwamba.
Naomba kuwasilisha hoja binafsi.
Hii mbona kama imekaa personal attack kuliko hoja ya kwanini Membe ana matatizo. Sijawahi kumsikia akijisifu kwamba yeye ni chagua la Kikwete au ni rafiki wa Ban ki Moon, unless unahoja ya kuthibitisha hayo. Naona mambo mengine ni kama wanamzulia tu hayana ukweli wowote
WAPO WENGI MFANO WAZIRI MUSTAFA MKULO AMEANDIKWA SANA VIBAYA NA GT,ZITTO KABWE AMBAYE NI MUISLAM ALIPOKWENDA BUSANDA NA KUTOA KAULI YA BAJAJI KWA MZEE MALECELA.GT ALIMSHAMBULIA ZITTO NA KUMTETEA MALACELA MUANGILIKANA.
GT ALIMSHAMBULIA SANA ZITTO ZUBEIR NA KUMTETEA SANA JOHN MALECELA
.GT AMEMSHAMBULIA SANA MWANDISHI MUISLAM SAEED KUBENEA NA AMEMTETEA SANA KILANGO MALECELA.KUNA THREAD ALIANZISHA IKISEMA MKULO AJIUZULU. WAKO WENGI WAISLAM WAMESHAMBULIWA NA GT FUATILIA POSTS ZAKE.swali zaidi?
duh!!
yale yaleee....
uzuri ni kuwa Mods ni werevu kuliko mnavyofikiria
Kwenye maneno kumi chukua moja tisa ni porojo, majungu,uzushi,ulaghai. Unajua mtu akiwa wa laghai atadanganya kwa muda .namuomba jk amtizame sana huyu (membe) atagundua tu ni mtu wa ulaghai ana sifa ya ukinyonga.
Anapenda sana kununua waandishi na vyombo vya habari.
Hii thread ifungwe otherwise tutakua jamvila majungu sasa.
And who the hell is this woman?please JK replace this woman ASAP
she is not up to the job
Bwana Game Theory, he who alleges must prove. Wakati mpaka wakati huu hujatuambia wala kutoa details za uongo wake, inaonyesha dhahiri kwamba wewe ndiye muongo kwa sababu umetuhumu na kushindwa kuuthibitishia umma wa JF kwamba huyu bwana ni muongo. Kuhusu sakata ya vitambulisho vya kitaifa nadhani mjadala ulishafungwa ingawaje haikatazwi kuufungua kama kuna ushahidi sasa wa kumu-implicate na skata hili badala ya kudandia bila facts zilizo concrete. Bwana GT hili kundi la mafisadi lililokutuma umejiunga nalo toka ulipokuwa UK au baada ya kurudi bongo? Mie nasema hiyo mob justice unayotaka kuiendesha dhidi ya membe bila ya kuwa na hata chembe ya ushahidi wa kuunga mkono hoja zako ni upuuzi ambao hapa JF tulishaukataa!
Phew!
at last...umerudi eeeh?
as long as umerudi sasa nadhani mjadala utanoga zaidi
I'm so happy kuwa umerudi ukumbini!