Membe jiandae kisaikolojia

Naona anataka kujishusha level kufikia ya level ya Chahali Evarist. Umeongea jambo muhimu sana hao wote sasa wanapata taabu kupata nyeti za sustem maana wamebadilishwa waliokua wanawapikia majungu

Na huo ndiyo Ukweli kamili ambao nilidhani kwa ' Level ' ya Ujasusi / Unjagu aliokuwa nao Membe hilo angelijua mapema na kuwa na tahadhari nalo badala yake naona kaamua Kuiga Udhaifu wa Mbwa na Kujisogeza mwenyewe kwa Chatu ili amezwe vizuri.
 
Wewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
Low thinking capacity ya hali ya juu nawe upo jf unachangia Mada? shame on u bro
 
1.Alikula million billion 200 za kiwanda cha cement lindi.
2. Alikuwa ananata,kujiona na kuwadharau wabunge wenzie wa kusini.
3. Alihakikisha anamnyoosha mudhihiri mudhihiri sababu tu walipishana kwenye eneo la kujenga kiwanda cha cement na mwishowe akala hela.
4. Anasifika kwa ubinafsi huko kwao rondo. Kazungushia lami makazi na maeneo yanayozunguka kwake. Kwengine kashindwa kuwawekea hata rafu road.
5. Hotel yake ya Naf Beach kwa miaka kadhaa ilikwepa kodi, kuharibu mazingira kwa kuvamia eneo la mikoko na kujenga bar na sehemu ya muziki. Watu wa mazingira walitulizwa kimya.
6. Leo kafika mahakamani na 110 kuwahadaa wadanganyika wakati anatembeleaga range rovers muda wote.
 
Nini tena wana CCM, kwani hastahili kugombea urais

btw siku zote WAOGA NDIO HUWAZIKA MASHUJAA..tuache apambane tu ila naimani atatoboa.
 
Hakuna mtanzania anayemhitaji Jiwe. Msijidanganye. Ni hero tuongozwe na Member au hata Joti kuliko huyu mbinafsi na katili asiye na huruma. 2020 Jiwe must go.
Jk aliwaonea huruma mkasema chama kinamfia mikononi na anachekacheka. Bahati mbaya we ulikuwa bado unanyonya maziwa ya mama.
 
Hakuna mwenye nguvu kumzidi jiwe kwa sasa.
Mimi naona wangeokoa hela za kampain na uchaguzi zikafanya mambo mengine.
Nchi yetu ina matatizo mengi sana
PAMOJA NA HIZO NGUVU MWAMBIE KUWA 2020 ANARUDI CHATTLE HAKUNA NAMNA YA KUMSAIDIA YEYE AENDELEE NA MAMBO YA KE KADRI AWEZAVYO ILA AJUE TU KUWA MBIO ZAKE MWISHO NI 2020
 
Boss thetallest Source yako ya Habari hii ni wewe mwenyewe ??? !!! Au ni Musiba ???!!!
Maana nimemsikiliza Musiba kwenye Youtube, na ulichoandika, ni vile vile. Au wewe ndio Musiba ???!!!
Tupe Source ya Habari yako.

Yaani ndani ya CCM hakuna anayemcheka mwenzake. Ni mwendo wa Mbuzi kula kutokana na urefu wa Kamba yake.

Boss kama haujui, Jua sasa, Viongozi wengi ni Makachero au Walipitia Ukachero. Orodha yao ni Ndefu.




 
Afadhali umetufumbua....tunaokula mtori tunakaribia kwenye nyama...Go go go Membe..... Mikia imekatwa
 
Kukaa kimya ni ujinga uliopitiliza!!!

Jiwe mwenyewe ana makashifa mengi tu maana na yeye ni wale wale.

Hamuwezi kuziba watu midomo kwa vitisho vya aina hii na vingine ambavyo mmekuwa mkivitumia.

Hovyo kabisa!!!
Kwa hiyo na wewe unamuunga mkono Membe?
Nyie watu kweli mmefilisika
 
HATA SHETANI ATAMWACHA PEKE YAKE KWANI KACHOKWA HAKUNA KIPIMO NA KAMA ANATKA KUJUA KACHOKWA BASI 2020 AJARIBU KUPELEKA PUA YAKE IKULU NDO ATAELEWA MWAMBIENI AACHE KUKARIRI KWENDA RWANDA KWA KAGAME PEKEE NAMSHAURI AENDE NA SUDANI KUSINI AKAKUMBANE NA AL BASHIRI AMPE UZOEFU WA KUTOKA KUTUMIA CHOO CHA KUKAA HUKU AKIANGALIA RUNINGA HADI KUNYEA DEBE NA KUBEBA MTONDOO WA MAVI NI MUDA TU NA KAMA KAMA WEWE NI RAFIKI YAKE N VEMA MKAMSHAURI ILI KUMPUNGUZIA FEDHEHA ANAYOIPALILIA SASA HIVI KILA UCHAO ANAZIDI KUINAMISHA KICHWA KWENYE SHIMO LA TEWA
 
Ndivyo unavyodanganyana na Wapuuzi Wenzio mkiwa katika Vijiwe vyenu vya Gongo, Komoni na Wanzuki?
ALBASHIRI ALIKUWA NA LUGHA NGUMU KULIKO HIZI ZAKO LAKINI SASA HIVI ANANYEA NDOO NA ALIKUWA NA NGUVU MARA 10 YA HUYU NDUGUYO SASA ENDELE KUMVIMBISHA KICHWA MADEBE YAPO KULE YANASUBIRI YEYOTE HAIJARISHI CHEO WALA CHOCHOTE
 
Kwahiyo uozo wote huu wa membe mlisubiri mpaka aanze kugombea kiti??
Your very hopeless politicians
 
Ndivyo unavyodanganyana na Wapuuzi Wenzio mkiwa katika Vijiwe vyenu vya Gongo, Komoni na Wanzuki?
UMKUMBUSHE KUREKEBISHA MAZINGIRA KULE SEGEREA USIMVIMBISHE KICHWA ILI ASIVURUNDE ZAIDI YASIMKUTE YALE YAKUKIMBILIA KWENYE MA' SEPTIC TANKS & PIPELINES MAANA NDO UMEKUWA MTINDO WA WAVURUNDAJI KUKIMBILIA KWENYE NJIA ZA MITONDOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…