Kama umechukua point za Musiba vile..Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Wapigaji ni kina Nani ?Kundi la wapigaji linamtia ujinga ili wapate chochote kitu.
Watu wanapenda kuwa campain managers mkuu
Liweke wazi sasa , we si ndio mleta mada , mbona shibuda aligombea ?Kugombea sio tatizo,tatizo lipo ,ila linahitaji kushughulisha ubongo kulijua
Upuuzi mtupu umeandikaSiasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Duh..Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Watamnyoosha atalimia menoHata huyo jiwe ajiandae kisaikolojia
Utaelewa tuDuh..
Membe amewahi kuwa na awamu yake kumbe.??
Akimaliza muda wake malizeni nae kama mtaweza
Wewe ni sisimizi tu hapa TZ. Huna lolote Salary SlipKukaa kimya ni ujinga uliopitiliza!!!
Jiwe mwenyewe ana makashifa mengi tu maana na yeye ni wale wale.
Hamuwezi kuziba watu midomo kwa vitisho vya aina hii na vingine ambavyo mmekuwa mkivitumia.
Hovyo kabisa!!!
Ndoto hizo yye si MKubwa kuliko Tz watagawana fito usione watu wako kimya ukatafsiri ni wajingaWewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
Hajui hata 2015 system ilikuwa haimtaki pamoja na familia ya JK kuwa upande wake asubiri maumivu zaidi very soonUmemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Stress zitakuuwa wewe! Naona hata Lowassa amekukimbia. Vipi mwaka 2015 si ulisema "Ulipo Tupo" imekuwaje sasa??!Alafu mkiambiwa lichama lenu ni chama la mafisadi mnabisha wakati humu mnalipuana wenyewe na kutudhihirishia mnalindana kwa mashariti gani!!!
Zero kabisa wewe!!!