MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Kauli ya kwanza ilikuwa "NIGUSE NINUKE"hii kiingereza chake sijui
hiyo ya pili ni ya kiingereza,Kiswahili chake sijui,lakini nadhani zinaonyesha misimao miwili tofauti.
ya kwanza inamtisha mgusaji asijaribu kugusa,ya pili inaonyesha mgusaji ana nguvu kuliko mguswaji.
 
CCM ni taasisi kubwa barani Africa hakiyumbishwi na wenye uchu wa madaraka Membe atakaa tu Hana namna

ingekuwa "taasisi kubwa" ingehakikisha watanganyika hawaishi kwenye matope mazito ya umasikini!

Hebu tuachane na hizi hadithi uchwara za ujinga ujinga za Kiswahili swahili!

Watu wanataka maisha bora, huduma safi na uchumi wa uhakika!
 
Kwa nini ukiwa tofauti na magufuli watu wanafurahia na kukushabikia kuliko ukimuunga mkono?something is wrong somewhere
Magu is terribly wrong somewhere, his deeds probably.
Kila watu walipo free kuji'express ni sampling nzuri ya kujua mtu anachukiwa au anapendwa kwa kiasi gani, hapa hakuna rigging.
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Kwa hiyo hakuna waliomshauri awe mpole na kumomba msamaha JPM? !
 
Hajaonesha Unafiki Kabisaaa.
'
Kuna msemo wa kiingereza: Fools' courage...Yaani wenzio kwenye mapambano wana tanks, rocket launchers, missles na silaha nyingine nzito halafu upande wa pili wana bunduki za SAR tu halafu mnaambiwa songeni kupambana dhidi ya wale wenye silaha nzito
 
Spirit ndiyo Kila Kitu Mkuu! Hao Wenye silaha Nzito baadaye Wanaweza Wakaja kuwa Upande Wako halafu Mkashangilia ushindi. Chini ya jua hakuna lisilowezekana Zaidi ya kujimodify Kimo Chako.
 
Kauli ya kwanza ilikuwa "NIGUSE NINUKE"hii kiingereza chake sijui
hiyo ya pili ni ya kiingereza,Kiswahili chake sijui,lakini nadhani zinaonyesha misimao miwili tofauti.
ya kwanza inamtisha mgusaji asijaribu kugusa,ya pili inaonyesha mgusaji ana nguvu kuliko mguswaji.
Kuna account nyingi twitter Kwa jina la Membe, hakuna mwenye uhakika kama zote kweli kazifungua yeye.
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
"THAT IS IT" Is a stone thrown unto the right direction!
 
Mfa maji uraisi atausikia tu nchi hii.
 
Back
Top Bottom