MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Namimi naungana naye.

Nilazima Uonyeshe kua Haukubaliani na mambo ya kijinga .

Na uwe tayari kusimamia maamuzi yako

Sio unakua kama popo
 
usikubali kumwamini mwanasiasa hata kwa asilia moja, wote ni vigeu geu mkuu, haipiti muda wanaramba matapish yao. then unabaki umeumia.
Namimi naungana naye.

Nilazima Uonyeshe kua Haukubaliani na mambo ya kijinga .

Na uwe tayari kusimamia maamuzi yako

Sio unakua kama popo
 
Ur ave brow the country
Aombe msamaha kwani Membe kamkosea nini Magufuli?

Membe kaanza kufanya kazi Ikulu wakati huo Magufuli akiwa shule ya Sekondari sasa leo hii ndo akajishushe na kuomba masamaha kwa kosa ambalo hajafanya kisa madaraka?

Membe hauyumbishwi!
 
Hizo tweets siyo za Bernard Kamilus Membe. Japo hiyo akaunti ina muda mrefu lakini naamini ni parody account. Kwa tabia na hulka ya Membe siyo mtu wa mitandao ya jamii. Anafahamu madhara yake. Yeye ni mtu wa kutokeza na kumkabili adui face to face.

Kama ingekuwa na tick (verified) kama ilivyo ya Zitto Kabwe Ruyagwa au Donald T Trump tungeichukulia serious. Na Membe kama angetaka kuwasiliana kwa twitter kutokana na hadhi yake angeweka tick naye.

All in all mawazo yaliyopo hapa yanaweza yakashabihiana na fikra za Membe. Mwandishi anajitahidi sana kupita mule mule mwenye fikra zake.

Tuipuuze kwa vile inaitwa Bernard K Membe ila twende nayo kwa kuwa mawazo yake nii kiwakilishi cha wengi tusiopenda mwenendo wa Jiwe.
Wewe acha ubishi wako yule ni membe mwenyewe
 
Mwmbe hata bila ku tweet kashatoa hii statement.

Tena kwa sauti yake kabisa katika maongwzi aliyodukuliwa.

Alisema anawasubiri aone watafanya nini, maana yake haombi msamaha. Kaweka mustendi.

Na mpaka sasa akitekwa tu, tunajua susoect namba moja Magu. Iwe kweli au si kweli.
 
Wewe acha ubishi wako yule ni membe mwenyewe
Vigezo vipi umetumia kuhakiki wewe mumiliki wa Twitter ? Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM aliikana akaunti ya Twitter kuwa Sio yake baada ya Twitter yenye jina lake kuwa na meseji ya kumponda mengi akasema SI yake
 
Membe is just like any other moron of this beatiful nation trying to come up with a sheep's image
 
Membe anajua hana muda mwingine zaidi ya 2020, baada ya hapo u Rais ni jua la jioni kwake.
Bahati mbaya wapambe wake wote wamejisalimisha kabla ya muda.

Mtu wake wa TIS nae ameshaondoka, kila anapopategemea pana yeyuka.

Membe atakufa na msongo wa mawazo, apunguze tamaa.
 
Back
Top Bottom