MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Nonsense!
Does it matter anyway, how he dies?
 
Basi ni kwa nini mheshimiwa Jembe amejijengea maadau wengi sana kwa kipindi kifupi sana cha uongozi wake?sehemu nyingine anafanyakazi vzr,issue inakuja pale anapowanyamazisha wakosaaji wake!!anaishi kwa maisha ya tabu sana ktk kipindi chake hiki hawezi kumuamini mtu yeyote yule,utabiri wangu mm itakuja fikia siku wana Ccm wataungana na wanaharakati kutengeneza katiba mpya,na joto likiwa kali jamaa atanyosha mikono
Hakuna kitu kama hicho milele na milele
 
Huyo ni jamaa anayejiita Kigogo2014 ndiye anaendesha parody ya Membe.

Wataalamu wa kusoma patterns wataelewa.

Hii aliweka a few minutes later baada ya hiyo ya Membe.

Attachments

  • Screenshot_20190912-173420.jpeg
    Screenshot_20190912-173420.jpeg
    27.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20190912-173420~2.jpeg
    Screenshot_20190912-173420~2.jpeg
    27.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20190912-173420~2.jpeg
    Screenshot_20190912-173420~2.jpeg
    27.3 KB · Views: 15
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Si jasusi huyo,kuto surrender ni sehemu ya mafunzo yao,so it is understandable,ila kiburi chake kitamtokea puani.
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Proper english ni "It is better to die on your feet than to live on your knees" au alivyo andika?? Waziri wa zamani wa mambo ya nje na balozi wetu nchini canada na "jasusi mbobezi"
 
"Tunajua suspect namba Moja, iwe kweli au si kweli"...hapo umeonyesha jinsigani umekuwa mzembe wa kushirikisha ubongo wakati unachangia
Labda hujaeleea maudhui na muktadha wa habari, na badala ya kuuliza, umerukia.

1.Serikali ina wajibu wa kulinda katiba na kuwela mazingira ya law and order.

2. Membe kadukuliwa. Kadhalilishwa kinyume cha katiba.

3. Membe anawania urais na kuna habari anasakamwa na the powers that be.

4. The powers that be hawajakamata waliondukua Membe, wala hawajakemea udukuzi.

5. Katika Information Theory, kwa kufuata kanuni ya "nature abhorrs a vacuum", usipotoa habari sahihi, unaacha nafasi kwa habari yoyote kuchukua nafasi na kuchukuliwa kama habari sahihi.

6. Serikali haijatoa habari sahihi kuhusu nani kamdukua Membe.

7. Serikali imeachia habari kwamba Membe kadukuliwa na serikali zitandae na kuchukuliwa kama za kweli.

8. Membe kasema hatubu anaangalia waliomdukua watafanya nini.

9. Kuna habari kwamba Membe anawindwa na serikali kwa nia mbaya.

10. Serikali haijakanusha kwamba inamuwinda Membe kwa nia mbaya, na hivyo, kitu kibaya kikitokea kwa Membe, suspect, narudia suspect namba moja itakuwa ni serikali.

Sijui hata kama unaelewa maana ya neno suspect na implication yake hapo.
 
1. Tuhuma zako za katiba kuvunjwa inatakiwa kujibiwa kwa wahusika kufungua kesi dhidi ya wahusika na serekali (tcra)
2. Ya Membe kugombea uraisi na serekali kumsakama hazina ukweli wowote kwani muda wa watu kutangaza niahaujafika.na taarifa kwamba anasakamwa na serikali hazina ukweli wowote kama zile za kusema Membe anafanya hivi ili my pre-empt serekali kumchukulia hatua kwa "madai" ya kuiba au kuzitumia tofauti na malengo heal zilizotolewa na Libya (Gadaffi)
3. Serekali haiwezi kutolea taarifa unazolalamikia kifungu cha (10)Cha waraka wako kwani serekali haiendeshwi kwa hisia zako za uongo na zisizo na miguu wala mikono. Kwa kufuata kiherehere chako au mihemuko yako . Wakifuata hivyo watajibu mangapi.??
 
1. Tuhuma za kweli zisipofunguliwa mashitaka, ukweli unabadilika na kuwa uongo?

2. Hakuna ukweli kwamba Membe ana nia ya kugombea urais? Hakuna ukweli kwamba Membe anasakamwa na serikali? For real?

3.Serikali kutotoa taarifa ndiyo sababu ya tuhuma zozote dhidi ya serikali, ziwe za ukweli au uongo, kuchukuliwa kama za ukweli. Kwa sababu, serikali haitoi kanusho wala taarifa inazoona ni sahihi. Kifupi unakubali kuwa serikali ina tatizo nililolisema la kuachia habari zirandae bila maelezo.
 
Ni dhahiri kuwa wa tz wengi wamechoshwa na Uongozi wa kiimla ndio maana anapotokea mtu yoyote ambaye atajithiirisha wazi wazi kupingana na jiwe, basi raia wengi (including wa ccm) hujawa na matumaini ya ukombozi mioyoni mwao.

Na hii thread inalidhihirisha hili nisemalo.
 
Kutangulia sio kufika! Cha msingi ni kwamba JPM ni Head of State...ana uwezo wa kutoa maelekezo kichwachako kikaletwa kwenye sahani, na hutafanya lolote. Kwakifupi, he`s the most powerful man on the land.. Lazima uheshimu hilo, haijalishi kama alishafanya kazi Ikulu au la!
Kwa kifungu kipi cha katiba ama sheria ipi!?.
Hebu Acheni kudanganyana kama watoto wadogo.
 
Hii ni kauli ya kijasiri mh MEMBE Tumekuelewa na tumeutambua ujasiri na msimamo wako usio tetereka.
Wenye mawazo duni na ni wengi wanadhani kuwa lengo lako nikutakata uongozi wa juu, wenye mawazo ya namna hiyo ndiyo hao wasio kuwa na ushauri wa aina yoyote katika uongozi wa nchi hii , kwao kila kitu ni kizuri , kazi yao ni kumwaga sifa hata pasipo hitajika , wamekuwa wanafiki na wasaliti wakubwa wanalo jali wao ni mkono kwenda kinywani, wamening'iniza matumbo kama vibuyu huku watanzania wenzao wakiwa wa naendelea kunyooka kama ubao. Na ni hao hao siku utawala utakapo badilika watajifanya kuwa manabii na kuanza kusema haya sisi tuliyaona toka zamani.
Nchi hii tumepungukiwa na watu majasiri aina mh Kamilius, nakupongeza kwa kukataa kupiga magoti hovyo hovyo kwani ukiendekeza tabia ya upigaji magoti utajikuta unampigia hata ibilisi, ibilisi ndo anapenda kupigiwa magoti kwani alitamani hata Yesu ampigie magoti.
Dumu hivyo mh, watu wachache walishiriki kutafuta Uhuru wa nchi mbali mbali , lakini walio faidi matunda ya Uhuru wakawa wengi.
Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom