Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Mwita waitara huyu aliyewasaliti wenzakeMembe, jina lina maana ya Pembe(shujaa)! Anasitahili pia kuitwa Chacha, Mwita,Marwa kwa msimamo huo wa kiume
Mwita waitara huyu aliyewasaliti wenzakeMembe, jina lina maana ya Pembe(shujaa)! Anasitahili pia kuitwa Chacha, Mwita,Marwa kwa msimamo huo wa kiume
kuna kila dalili kwamba Membe anaungwa mkono na vigogo wa chamaHuyu hana njaa kama wale wengine.
Ndio ujue,Hakuna Dikteta anayependwa na raia wakeKwa nini ukiwa tofauti na magufuli watu wanafurahia na kukushabikia kuliko ukimuunga mkono?something is wrong somewhere
Nobody likes his dictatorial element. We live in a free Democratic nation, so any attempt to oppress one of us is an attemp to oppress all of us.Kwa nini ukiwa tofauti na magufuli watu wanafurahia na kukushabikia kuliko ukimuunga mkono?something is wrong somewhere
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.
Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.
Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.
Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.
View attachment 1206501
Nimeshakuambia kwamba akaunti ni ya membe, kama hutaki unaweza kupita kimyakimyaVigezo vipi umetumia kuhakiki wewe mumiliki wa Twitter ? Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM aliikana akaunti ya Twitter kuwa Sio yake baada ya Twitter yenye jina lake kuwa na meseji ya kumponda mengi akasema SI yake
Kwa hiyo na mkuu wa kaya yupo sahihi kusimamia kauli zake?Mwanaume rijali huwa anasimamia kauli zake either amekosea ama yupo sawa
Hawa ni baadhi ya "praise team" waliobaki maana wengi wamekimbiaNimeshakuambia kwamba akaunti ni ya membe, kama hutaki unaweza kupita kimyakimya
So, why don't we unite?Nobody likes his dictatorial element. We live in a free Democratic nation, so any attempt to oppress one of us is an attemp to oppress all of us.
Heri kupata maendeleo taratibu huku watanzania waliowengi wakijikwamua kielimu na kifikira kuliko kufanywa wahudumu wa Wazungu Kama ilivyo South Africa na Zimbabwe Kabla Mugabe hajawafukuza mabeberu.ingekuwa "taasisi kubwa" ingehakikisha watanganyika hawaishi kwenye matope mazito ya umasikini!
Hebu tuachane na hizi hadithi uchwara za ujinga ujinga za Kiswahili swahili!
Watu wanataka maisha bora, huduma safi na uchumi wa uhakika!
Hawa ni baadhi ya "praise team" waliobaki maana wengi wamekimbia
2020 ya Nchi ipi? Not that easySifa ya kiongozi bora ni ujasiri. Membe kaonyesha ujasiri wa hali ya juu kabsa. Hakika ww ndo Rais wangu 2020,No retreat No surrender!
Siyo vile vivulana vya kulia lia kama mademu.Bado tuna wanaume wa kweli wachache.Asante Membe.
Time always tells the truth.Huyu hana njaa kama wale wengine.