Asubiri 2025 sio 20202020 MEMBE njia nyeupe.
Asubiri 2025 sio 20202020 MEMBE njia nyeupe.
Alishindwa kuwa rais wakati wa kakake JK wakati urais hauna mtu ataweza kuupata wakati tayaru nwenye urais wake amejaa tele😁Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
WHO ARE YOU?? WATU WANAPINDUA MEZA NA KIGODA WANABETUA.💪💪Asubiri 2025 sio 2020
time is good teacher.Mkuu amka kumekucha usije ukakojoa kitandani bure
rubbishHizo hazimsaidii membe kuingia magogoni
naona mzee MAV.I YANAGONGA PICHU,MTAJIBEBA 2020 MTAJIFICHA WAPI??? shame shame shame on you DUDE😁😁😁😁Tell him
Naamini huu utakuwa mpango wa the Almighty God, sio yule tunayesikia wanamtaja upande pili wengine wakiwa wanalia makanisani!Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
LOWASA NI DEAD reality.Sina imani kama membe anakubalika ndani ya ccm kama ambavyo Lowassa alikua anakubalika kabla ya uchaguzi wa 2015.Lakini kilichotokea kila mtu ni shahidi hivyo bax membe ni kama anafurahisha genge tu na ikitokea ccm wamempitisha watashinda lakini kwa nguvu nyingi ya dola
Membe hafiki popote. Bora Magufuli mara elfu kuliko Membe.
History is going to be written.ONE TERM PRESDENT in history of Tanganyika at large and Tanzania in particular![]()
Alishindwa 2015 chances zote zikiwa favorable kwake,ndo ataweza 2020?Again hafiki popote.Hafiki popote kivipi? Mwacheni atumie haki yake kikatiba.
Jisemee mwenyewe sio woteSisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
nothing written mr.Membe hawezi kuwa Rais.
Hata yeye ana fahamu.
Membe na kikwete ni watu ambao walituuza sana watanzania (Spirtual)
Majuzi,Membe na Kikwete walijaribu kutumia madawa na mbinu zao za ki Roho lakini zili Fail.
Kwa maana rahisi,Rohoni wamegoma/kushindwa na hata mwilini wameshindwa pia.
Ki,uhalisia
Magufuli ni Mtu ambaye amewekwa for mission na hata CCM ITAMFIA MIKONONI MWAKE!!!!
Kwani JPM alikuwa anakubalika 2015?Si aliokota dodo baada ya wanaCCM kuwa na hasira baada ya Lowassa kukatwa!!!Wakaamua kupiga kura za hasira kwa kuwaengua wale ambao walionekana ni mpango wa JK,hivyo katika process JPM akabahatika kuonekana ana unafuu katika top 3!Sina imani kama membe anakubalika ndani ya ccm kama ambavyo Lowassa alikua anakubalika kabla ya uchaguzi wa 2015.Lakini kilichotokea kila mtu ni shahidi hivyo bax membe ni kama anafurahisha genge tu na ikitokea ccm wamempitisha watashinda lakini kwa nguvu nyingi ya dola
Si kweli,waNEC walishtukia mchezo hivyo 2015 walipiga kura kumkomoa JK kwa kuondoa wale ambao alienda na majina yao mfukoni!!!Kura za hasira ndio zilimpa JPM ushindi!Sasa hao hao member wa NEC wamechukizwa na mtu huyu,tutegemee kuiona hasira yao kwenye kura ya maoni!Alishindwa 2015 chances zote zikiwa favorable kwake,ndo ataweza 2020?Again hafiki popote.
Asubiri 2025 atifuane na kina January,Nappe.Si kweli,waNEC walishtukia mchezo hivyo 2015 walipiga kura kumkomoa JK kwa kuondoa wale ambao alienda na majina yao mfukoni!!!Kura za hasira ndio zilimpa JPM ushindi!Sasa hao hao member wa NEC wamechukizwa na mtu huyu,tutegemee kuiona hasira yao kwenye kura ya maoni!
Atikise tu,ndo nasema hatofika mbali.Mwanya upo 2020,kama shibuda alivyotaka kumtikisa JK kipindi kilee!