Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Tuacheni tule bata la membe huyo mliyemsukumizia inatosha. Unamlinganisha MTU kwenye nafasi ya urais ambae hajawahi kushika nafasi hiyo kwa references gani? Au references za udaku, majungu na kisokorokwinyo.
pamoja Tunkamanin💪💪
 
Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Sema wewe ndiye unamuunga mkono, usitake kutushirikisha kwenye mahaba yako!
 
Nimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa
Hivyo vi clips ni vya kutengeneza
 
Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Kweli mkuu wameachia clip mbili kati ya tano walizozibumba mataga ili Jiwe aweze kujilinda na kuwa one term president kwa hiyo anawatuma mataga kuwatisha watu anaowaona tishio kwake . tishio kwake
 
Tuacheni tule bata la membe huyo mliyemsukumizia inatosha. Unamlinganisha MTU kwenye nafasi ya urais ambae hajawahi kushika nafasi hiyo kwa references gani? Au references za udaku, majungu na kisokorokwinyo.
Tunawalinganisha hata kipindi wako Mawaziri
 
Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Huu uzi kama umeandikwa na Miriam wamigomba hauna cha maana zaidi ya UMBEA
 
Nimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa
Wewe ni mweupe katika mambo haya. Hivi kwa akili yako, Musiba anatafuta ushindi upi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom