nguruwedume
Member
- Jan 1, 2017
- 82
- 99
Watumishi wa umma hata ukiwawekea nasi na magu watachagua nazi...... Kipindi chake hakijawa na afya kwa watumishi..... 2020 njoo tuMembe for presidency? Anapwaya.......
Watumishi wa umma hata ukiwawekea nasi na magu watachagua nazi...... Kipindi chake hakijawa na afya kwa watumishi..... 2020 njoo tuMembe for presidency? Anapwaya.......
Yupi anafaa ???Membe for presidency? Anapwaya.......
Mpaka uwe na connection mm ninayo ameshirikia na feitotoClip ya bashite akiimba taarabu inatoka lini ?
Hizo hazimsaidii membe kuingia magogoniKARIBU SENIOR MEMBER.
JOINED 20 FEBRUARY 2019
points 125
reactions score 60
messages 101.
Jitahidi mbuyu ulianza kama mchicha
Huyu huyu Obeid mlaga anayejiita musiba jina tu la ungo hizo clip zake ndio zitakuwaje?Mimi nasubiri clips za upande wa musiba na wanaomtuma nadhani hizo zitakuwa tamu sana
Siwezi kamwe kumuunga mkono mwehu hayawani never.Sisi wananchi wa Tanzania tunamuunga Mkono Magufuri hata kama vigogo wa chama hawamuungi mkono...
Kwani mfumo umelala?Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
Mkuu amka kumekucha usije ukakojoa kitandani bureHistory is going to be written.ONE TERM PRESDENT in history of Tanganyika at large and Tanzania in particular![]()
Membe hafiki popote. Bora Magufuli mara elfu kuliko Membe.
Wewe ndo umesema hebu osha papuchi yako harufu kaliMembe hafiki popote. Bora Magufuli mara elfu kuliko Membe.
Inahusu?????Wewe ndo umesema hebu osha papuchi yako harufu kali
PovuuuWewe ndo umesema hebu osha papuchi yako harufu kali
Inahusu?????
[/QUOTEused tooo nyie ni kuwamiminia spam za moto ***** zenu
Kwaiyo unamaanisha yesu ni kama nani?Hata yesu alipingwa sana kwa kutetea wanyonge , Magufuli chapa kazi baba 2020 ni yako baba , kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji . Njia nyeupeee 2020.hongera sana Magufuli
Nasubiri Kigogo atuweke clips za jiwe akipanga mauaji ya LissuMimi nasubiri clips za upande wa musiba na wanaomtuma nadhani hizo zitakuwa tamu sana