Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Acheni kutupotezea mda na Membe wenu. Mara mia apewe kibajaji.
 
matter of time.Have taken shower madam?? after that night's task?? pole I can see you are tired! dont play with men😁😁😂😂
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
 
Afute hayo mawazo akilini mwake kama alishindwa kuingia IKULU enzi za kakaake RAIS ataingia saahiz?
ye abaki kuwa shabiki huu mchezo hauwezi
 
mmepeleka wapi trion 2:4???
 
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
Wala usihangaike kumjibu, huyu ni mshabiki asiye na maarifa, wala hamjui vizuri anayemshabikia.
 
Hawa ndo wafuasi wa Membe. Badala ya kujadili ideas umeanza kuniuliza mambo yangu personal. Magufuli lazima ashinde 2020.Membe na kundi lao najua wanaumia maana biashara zao haramu na halali ila walikuwa wanakwepa kodi wameshikwa pabaya.
where do you get those jokes la madame??.... you have eyes but you see nothing?

where did they sent 2:4 trion?? 😂😂😂😂
 
Afute hayo mawazo akilini mwake kama alishindwa kuingia IKULU enzi za kakaake RAIS ataingia saahiz?
ye abaki kuwa shabiki huu mchezo hauwezi
History is going to be written.ONE TERM PRESDENT in history of Tanganyika at large and Tanzania in particular😉😉😂😂😂😁😁
 
hicho kitu hakipo kabisaa sema ungekuwa na hela tungebeti nikupune😄😃
 
KARIBU SENIOR MEMBER.

JOINED 20 FEBRUARY 2019

points 125

reactions score 60

messages 101.

Jitahidi mbuyu ulianza kama mchicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom