Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Membe ameanza kutupa karata zake!!!

Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
vp madai ya vigogo yako sahihi
 
watu wote wanajua kwamba magufuli na ccm haziivi,tangu wakati wa campaign.

kwahiyo yeye hana haja ya kupima pima maji,aingie tu si anayo pumzi na kuogelea anaweza!
Kuna sehemu hakupo sawa mzee mwenzangu
 
Magufuli atosha hao wengine wasubiri mpaka amalize muda wake, kwani wamesahau kwamba katika uchaguzi wa 2015 ccm walimuhitaji zidi Magufuli kuliko Magufuli alivyoihitaji ccm? Chama kilipoteza mvuto kwa wapiga kura, na ndio maana katika zile kampeni kauli mbiu ilikua chagua Magufuli hapa kazi tu, na sio chagua ccm, na kama isingekua Magufuli kusimama kwa upande wa ccm basi nadhani kwa mara ya kwanza upinzani ulikua unachukua nchi na endapo ccm wangempitisha Membe na Chadema wangempitisha dk Slaa basi huenda Slaa angekua ndiye rais wa Tanzania kwasasa, kile kinachoendelea mpaka sasa kuonyesha wanampinga ni kwasababu tu rais huyu ameondoa umiliki wa nchi kuwa mali ya familia fulani fulani na kujaribu kujenga usawa kwa watanzania wote. Lakini amini nawaambia hata akigombea nje ya ccm Magufuli atashinda asubuhi saa nne.
 
Kuna sehemu hakupo sawa mzee mwenzangu
wala sina shaka kwenye hili,maadam mtifuano huu haupo kwa maslahi ya taifa bali ya watu binafsi,nami nasema wacha watifuane kwakuwa nina uhakika atakayeibuka mshindi ni magu.

hawa watu wamecheza sana na tz,so hawaamini kama kuna mtu ameweza kuwafarakanisha kabisa,so wanajaribu kurusha walau mateke mawili matatu.
 
Naam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
UNAFIKI HUO
 
Kwaiyo unamaanisha yesu ni kama nani?
yesu ni mwana wa Mungu alikuja kuponya wagonjwa na wenye shida mbalimbali .lakini alibezwa .itakua binaadam , chapa kazi magufuli, ccm miaka ni kumi , wasikutoe kwenye reli , vinginevyo mtaonekana hamjiamini na mnachokiamua , kamati nzito sana ilioamua magufuli kugombea uraisi .
 
Nimegundua kuwa TISS ni chombo dhaifu mno kama wanakubali kutumika Kwa kuingilia mazungumzo ya watu ilimradi musiba apate ushindi hili ni Jambo la kijinga kabisa..
Hizi clips ni aibu Kwa Mkurugenzi wa TISS aneyetumiwa na CCM Kwa manufaaa ya kisiasa

Acha kuongea upumbavu wewe kiazi..
"Umegundua..?!" Wewe umegundua kama nani na kwanjia ganiii..?!

Toa maoni yako hamsha tadee..huna uwezo wakugundua lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom