Waliipoteza maisha na kuopolewa mpaka sasa ni watu 12 na walinusurika ni watu karibu 90, na mali inasemekana imesha zama yote.
Source: ZBC & CHANNEL TEN.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Adui muombee maisha marefu...Hamjaiona maiti ya mwigulu mpaka sasa jamani 2nasubiri kwa hamu kuiona
Jamani bado tu hatujajifunza?
Bila shaka CHADEMA wanahusika na kuzama memo hii
Jamani bado tu hatujajifunza?
inasemekana MV seagul ikitokea Dar kuelekea zanzibar imezama. kila tupato habari tutazidi kuhabarishana
Update:
Ilikua na abiria 200 na juhudi za uokoaji zinaendelea na tayari baadhi ya watu wameokolewa wakiwa hai na wengine bado wanaelea wakiwa na maboya. Taarifa za vifo bado hazijathibitishwa japo ukweli ni kwamba vifo vipo. Meli hiyo imewahi kuripotiwa kuwa mbovu mara kadhaa.
View attachment 59156
Hizi sio habari za kufanyiana mzaha, kwenye ile meli kuna Watanzania wa kila chama na wasio na vyama na kuna watoto wadogo wasiojuwa hata chama cha siasa ni nini. Fanyeni adabu kidogo kwa jambo hili.
Ferry imezama kwa kuzidiwa na upepo na mawimbi ya bahari na sio ubovu.Pepo na sea waves yanazamisha hata meli mpya.Pili kwa kadri picha inayonyesha (check picha nyingine) ferry inayozama ukiangalia body lake sio sio MV Seagul. Inawezekana ikawa Mv KALAMA ou nyinginezo.
makinda leo alikosa adabu kabisa....
Hata mimi nimeona hiyo facebook, nkajua utani!! Ilikua na uwezo wa kubeba watu wangapi??
Hayo si ndio maadili yenu, mnajulikana.
This time tugomee serikali kuunda tume kwa ajili ya mambo Kama haya
Ambayo majibu yake yako wazi... Tunataka wakuu wa mamlaka husika kuwajibishwa!
Haiingii akilini hata kidogo kwamba hata majozi hajafutika ya watu waliokufa kwenye spice islander yanatokea yalayale.. Meli ilikuwa overloaded!!
makinda hana utu na adabu ....wenye utu walitoka bungeni..