Meli Spice Islander yaibuka

Nadhani kwa michango ya wana jf kitu kama hicho hakuna.JF inamtandao hadi ilikozama meli so wangekuja kudhibitisha. Watu wawe na subra lakini wengi tunashindwa kuamini.
 
Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako.

Usemi huu huwa ninauchukulia kama umekaa ki-murere zaidi. Yani ukiwa murere ndo unaweza kutoa huu msemo. Hauna maana! Hata kama una maana ila umekaa ki-murere sana!
 
Jamani wengeni presha inapanda presha inashuka mtatuhua bure kuna mali zetu mle. Jf ni sehemu ya kuhaminika sana kwa sasa. Msituletee mambo yenu ya kwenye vijiwe vya kahawa jf ni sehemu TAKATIFU sio kwa wahuni hapa wahusika futeni huu ujinga haraka muwe mnatakafari mambo kabla
 
Nakumbuka hata kipindi kile ilipozama MV Bukoba, story kama hizi zilikuwepo sana.
 
no such kind of phenomena,empty volume was occupied by water so floating is impossible
 
as navy artecture nasema haiwezekani meli yenye urefu wa 46mt upana 8mt dempth 7.5 mt inaweza kuwa na uzito wa ton 290 na inapakia ton 560 aidha balance tank zake zinafkia lt 60000 sawa na 57 ton so ukijumlisha zote pamoja na mafuta ni kama 1000ton sasa katika akili ya kawaida nini kitafanya ton 1000 ielee wakati ndani haina hewa?
 
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa kaimu mkurugenz wa bandar bw.abdallah kombo habar hii si kwel
 
Huyu EMT atakuwa ni gwanda orijino, ndio wenye habari za kizushi!
 
Nadhani ni wakati mahususi kwa JF kuunda jukwaa la tetesi.
Wewe EMT hizo tetesi umezitoa wapi? Lini na kwa nini? Ujue watu wamepoteza ndugu zao humo!
 
Ebwanaa dah jaman kama mambo ni hivi hata TITANIC mbona ingeshaibukaga long tyma sana...
 
Back
Top Bottom