Meli Spice Islander yaibuka

Anything is possible na ikitokea wengi watasema ni mkono wa mtu. Kama ingetokea hata usiku wa manane akina Prof. maji marefu wangesha jitutumua kuwa ndo wao wameivuta juu ili wapate tena kurudi mjengoni 2015
 
Nikiwa kwenye kanisa la KKKT. Kimara binti anayesoma. Tumaini university leo ameibuka akisema kwamba kwa kushirikiana na wachawi kutoka. Urusi ndio waliizamisha meli hiyo ili wanywe damu ya maiti kufanikisha. arusi ya bint. anayeitwa saida
 
watu mnazidi kuonyesha mnavoamini uchawi hadi kwenye vitu vinavyohitaji scieNtific explanations
kama imeibuka ni kuangalia cause, lazima kuna kitu cha kuweza kuexplain msianze na uchawi, sasa mchawi aizamishe afu airudishe ya nini, si angeacha waifuate wenyewe... na wale mnautuambia archimedes principle em acheni kutupiga fix, archimedes principle haifanyi kazi hapa... hiyo upthrust imekaa muda wote huo kuja kufanya kazi leo, ilitakiwa iwe immediate au isingezama kabisa ndio mngetupa principle yenu hiyo..
 
dunia bila uchawi kipimo cha imani.
 
Hapa ndipo utapojua wabongo science ni majungu!!
Sijaona hata facts moja inayoni convince
 
Back
Top Bottom