Acha chai hiyo Law of floatation....a floating object displaced it own weight on the fluid in which it floats hahahha kukariri kaziArchmedes principle inafikia.
as navy artecture nasema haiwezekani meli yenye urefu wa 46mt upana 8mt dempth 7.5 mt inaweza kuwa na uzito wa ton 290 na inapakia ton 560 aidha balance tank zake zinafkia lt 60000 sawa na 57 ton so ukijumlisha zote pamoja na mafuta ni kama 1000ton sasa katika akili ya kawaida nini kitafanya ton 1000 ielee wakati ndani haina hewa?
Kuna habari ambazo hazijadhibitishwa kuwa ile meli ya Spice Islander iliyozama Zanzibar na kuua mamia ya watu imeibuka na kuelea bahari. Kama kuna wenyewe taarifa zaidi watujuze.
Mv. Bukoba nayo huonekana mara kwa mara ikiwa inaelea,lkn ukienda hilo eneo ilipo inapotea.Haya mambo ya ajali za majini yanaconfuse sana!