Meeting with Mr. President

Wewe ni shetani kweli! wala hustahili kuwa hapa. Nenda kwa mashetani wenzako labda ndio utaelewana nao.
 
Huh?

Shetani everywhere?

MKJJ, either the president is extremely naive and is just making himself a laughingstock by this "gentleman's agreement" with the press (ona tayari watu wanataka kumwaga "mchele" kwenye new media!) or there is absolutely no press freedom in Tanzania to the extent the president can fathom doing this.

Else the "news" is so inconsequential that he could not care less.

In any way, the direction is deplorable.
 
yaani hata JF nayoimefungwa mdomo,kwa hiyo tuachekumuonea RA eti kamumua waandishi kumbe ni utaratibu tu wa watanzania kuwa wasikivu na watiifu kwa viongozi
 
Jamani, nilikua huko, kimefanyika kituko, Ikulu wamegawa makundi mya watu wanne wanne, sisi tumerudishiwa getini tumepangiwa muda mwingine (sitaji muda watanijua)... kwa hiyo hiyo ndio hali halisi, kwamba leo kutwa nzima Rais atakua na kazi ya kuzungumza na waandishi wa habari

Urasimu na intimidation ya hali ya juu! Hivi kwa nini asiite mkutano na waandishi wa habari wote pamoja badala ya kuwa na mukundi ya watu wanne wanne!? :confused:

Siku nzima itatumika kufanya mikutano na waandishi wa habari. Wanajua wakiwa waandishi wachache watakuwa intimidated na kuogopa kuuliza maswali ambayo Watanzania wengi wanataka kuyasikia yanaulizwa na hivyo kushindwa kumbana na maswali magumu.
 
Hii iende kwenye udaku haraka sana.

Iende kwenye udaku? Kwa nini?

BTW hii ni vitimbwi na vichekesho vya Dr. Kikwete! But I really pity him and his pseudo-spinmeisters! Kweli wanawaona waandishi wa Bongo watoto. Tatizo in kwamba waandishi wengine (siyo wote) wanakubali kuendeshwa WORSE ma-editors na wamiliki wa vyombo vya habari are all WIMPS!
Hii si kawaida au kitu kinachokubalika! Maybe in dictatorship na Communist countries but in a democratic coutry huwezi kuwaambia waandishi 'hold the press' for 2 days!
This has to be made public! Scandal!
Admin plz change the title of the thread to "Trying to take part in press conference with JK" or something to that effect!
 
Back
Top Bottom