Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

habari, nikutoe wasi kuwa huo si uchawi bali ni uwezo na uunngu ulio ndani yako.
jiamini na utaweza kujicontrol au kama unapata tabu sana tafuta mtu mwenye uwezo au elimu ya juu kuliko wewe ili aweze kukusaidia pale unapokuwa ktk hali inayoweza kuhatarisha mazingira uliyopo( kwani siyo wote wenye imani hiyo au uwezo wa kuelewa)
ninakuhakikishia kuwa hakuna ubaya balini mtazamo wa watu tokana na elimu hiyo kufichwa kwa wengi sawa na twengi wanavyoamini kuwa kutumia dawa za asili ni shiriki baliza hospitali tu ndiyo sahihi! sam4peny@gmail.com naomba tuwasiliane kwa maelezo zaidi kama utapenda, nitumie email kwa subject yoyote inayohusu huu uziukiambaana na neno jamii forum au jf pia mawasiliano utayoona ni reliable kwako
Matapeli watupu humu hampati kitu
 
Acha kupotosha watu hapa mimi ni master wa meditation ulicho kizungumza kinajenga mtazamo mbaya kuhusu meditation ijapo kua swala la miujiza nikitu chakawaida kwakua unakua unakua umefungua lango la kiroho.
Kuhusu mengine yote yalio kaa katika mtazamo HASI👈 niuongo unao ueleza.
 
Mkuu una muda gani kwenye hii fani?
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Dr Strange Multiverse au sio...
Ngoja waje wanaojua
 
Mkuu una muda gani kwenye hii fani?
Muda mrefu nanizo groups zenye wanafunzi wengi tuu.
Kifupi kilicho tokea kwako nisababu za kimazingira ambapo hua unaingia kwenye mtego wafikra.
Hii huweza kuwafanya kuona vitu vinavyo weza kuwafadhaisha sana ila sababu nikwenda nj'e yalengo kuu.
Nilazima uweke fikra kwenye utulivu naudhibiti kila kitu kinacho ingia katika hiyo fikra.ukifeli kidogo hapo unaingia katika dimension nyingine kabisa.
 
Embu ukifanya tahamuli ukiwa na tunguli pembeni yako utafanya makubwa
 
Mtafute mtumishi wa Mungu wa Kweli aliye karibu Yako akusaidie kusajili upande wa WATAKATIFU,

Umwamini Yesu Kristo, awe BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA Yako, uwe mtu mpya, ya kale yapite ,uanze maisha mapya.

Ujazwe na Roho mtakatifu Ili hizo Roho zikutoke.

Ubarikiwe🙏
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Wewe umeshakua mchawi mapema sana kwa vile vingine unavyovifanya tofauti na iyo meditisha
 
Habari zenu,

Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.

Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .

Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa.
Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na kujidhibiti kifikra.

Nimeshatabiria zaidi ya watu 4 kifo ikiwemo aliyenifundisha hii Taamuli ambaye ni BABU yangu. Sasa imefikia wakati nikiwa kwenye taamuli baada ya kuwasha mishumaa yangu katika mduara wa nyota nashindwa kujicontrol kama mwanzo nafanya vitu vingine vipya kama kutoa maneno madomoni nisiyojua maana yake.
Kuzidiwa na nguvu na mwili kukakamaa .

Kwa mwenye ujuzi wa Taamuli nawezaje kuacha?
Wakuu Mzizi Mkavu na Rakims , naombeni msaidieni huyu mtu kabla hatujampoteza!,kuna vitu watu wanafanya bila kujijua,kumbe ni ibada za mashetani!,na ukifanya mchezo,sasa hivi watu wanapeleka nyama mezani!Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Baadhi ya members wa ibada za kishetani humu,walipofundisha mambo ya kishetani humu,nilitoa angalizo Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
P
 
Umefanya vema kunitag Mkuu...

Awali ya yote ifahamike kuwa; Huyu bwana alichokuwa anafanya si Meditation bali ni aina ya Spells zilizojificha katika Kivuli cha Neno meditation.

Nikinukuu maelezo yake akisema; "Ni miaka miwili nipo kwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli" hapo mwanzo kabisa kwa mtu mwenye uelewa juu ya Meditation atajua tangu awali uelewa wa huyu mwandishi kuhusu meditation hakujua ni nini;

Yoyote anayeitaja meditation kama Ibada maana yake teyari kashajipelekea katika kujipotosha/Kupotoshwa katika meditation..

Meditation changa na ya kwanza kabisa ya malezi ni Breath Meditation (Mazoezi ya Pumzi) ambapo; Muhusika anachofanya basi kumbe si ibada bali ni mazoezi.

Sote tunatambua kwamba Ibada ni misingi katika misingi ya kuabudu, Na meditation ni misingi katika misingi ya mazoezi (Ambayo imegawanyika katika mifumo mitatu).

Sehemu nyingine akaendelea kwa kusema; "sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa" Hii ikionyesha kuwa kumbe basi hata hicho anachofanya si meditation kwa maana meditation tunatarajia ni funguo katika funguo za kumuepusha mwenye kufanya mazoezi hayo katika kujizulu au kujipotosha.

Goal ya meditation ni mtu kuwa enlightened kwa mazoezi yake; Lakini yeye tunaona katika vipengele vya mwishoni anadai kuwa kapotoka na anatamani mtu amuongoe.

USHAURI WANGU WA KWANZA

Aanze kwa kupitia ule uzi wako wa Psychic Powers kuelewa ni wapi uwezo wake wa kutabiria watu vifo unatokea, Baada ya hapo apite katika uzi wa Mwalimu Rakims kusoma mwanzo wa meditation; Kisha baada ya hapo.

Aangalie naona ya kubreak out kutoka kwenye demonic Possession kwa maana yeye teyari ni vessel katika misingi ya mambo ya mababu zake.

Ziada ya hapo akikutana na walugulu humu wakaanza kumshauri jinsi ya kuwasha mshumaa ili afukuze nguvu hiyo au aende kwa pastor/sheikh fulani kuombewa basi ajue kabisa mikoba ya kichawi/Uganga ndio TUZO yake.

N.B:
To overcome an Evil with Evil is Evil; to overcome an Evil with Good is Good

Rakims.
 
Back
Top Bottom