Hata ukubwani ukiwa una muda
Zinatokea sana hizo wengine huumwa, kuharisha ama kutoka vipele... Endelea Usiache
Fuata next step
Hebu tuwasiliane 0715897077
Ina maana hiyo haina faida yoyote? Kuna mtu anasema eti hiyo inaleta matokeo ya haraka zaidi.Hapana unaishia kuumiza macho
Maelezo ya mtu huyo ni kwamba kinachotakiwa ni kuingiza energy kwenye paji la uso ambamo ndo kuna ile central processing ya akili ya mwanadamu.Mungu wangu labda jua la ulaya, jua la bongo hili dakika tano tu ukifungua macho utaona nyotanyota nyekundu na nyeusi
Mkuu nimeona katika meditation matumiz ya nyama sio mazuri, hii imekaaje na yapi ni madhara ya kula nyama spiritual