snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
kuna binadamu na kuna snipa, nikiambiwa nilete mediatek nitaleta processor yoyote ya mediatek na nikiambiwa nilete mt6595 nitaleta exactly processor hio.
nyumbani nina mbwa anaitwa ten, nikiambiwa niletwe mbwa nitaleta yoyote nikiambiwa nimlete ten then nitachukua mbwa wangu. nikiambiwa nimkamate snipa nakufata wewe nkutembeze na vidole gumba nikiambiwa nilete binadamu nitamfata yoyote.
hahahaaaa my jesus fucking crist.
Kuna dogolasi kihome aliulizwa shuleni kwenye paper "Juma ana Mbuzi wanne na Kondoo sita, je juma ana Mifugo mingapi jumla" akajibu Miwili.... Akapewa Kosa.
Lakini kimantiki alikua sahihi.
Mediatek inaleta utata tena sio kidogo. Binafsi ninachojua hakuna Processor inayoitwa Mediatek ila mediatek wanatengeneza processor na wala haziitwi Mediatek ila zinaitwa Mediatek Processor (Chipset) lakini kuna aina nyingi za Mediatek Processor na sio aina nyingi za Mediatek.
Ni sawa na bwana mkubwa pale juu aliyesema kuna simu inaitwa Nokia, kitu ambacho ni Black Lion.
We shall end there i think without anyone to make a conclusion.