Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Kila la kheri huko muendako

Azam tv wanataka kuvitoa vilabu vya Tanzania katika utumwa kumbe nyinyi mnapenda utumwa

Dstv wapo miaka mingi kabla ya azam tv mbona hawakutoa pesa kama ambazo sasa azam wanatoa
simba ni kubwa
tupo kapu moja na al ahly
hatuanzii mapambano ya ufunguzi
 
Mo asifikiri anamkomoa Manara au Azam bali anawakomoa maelfu ya washabiki wa Simba ambao wengi hawana uwezo wa kumiliki DSTV
Hivi mashabiki wa utopolo mnaakili kweli. Dstv kwenye vibanda umiza ni za kutosha, kweli mi shabiki wa simba nishindwe kutoa buku au miatano kuangalia game ya simba.
Uzuri ni kwamba sisi tunaanzisha jambo nyie utopolo mnafuata.
Tena itakua nzuri sana simba saizi inafuatiliwa sana Africa.
Hao Azamu waache ujinga wao wanatupaje hela sawa na timu haina utofauti na biashara.
 
Mjitoe kwenye ligi kuu maana ligi kuu ya Tanzania bara mwenye haki ya kuonesha ligi kuu ni Azam pekee.
 
Mtu unaweza kumtania mtu kwa vitu alivyovitengeneza mwenyewe lakini sio vile Mungu alivyovitengeneza. Suala la kitambi ni ugonjwa wa kitabia ambao mtu ameamua awe hivyo kutokana na life style yake lakini tatizo la haji ni la Jinsi alivyoumbwa na hawezi kujilazimisha ata kupaka mwili rangi ili awe sawa na sisi ila kitambi akiamua sekunde kinamomonyoka
sikiliza nikwambie kanuni ya utani ni moja tuu
hupendi kutaniwa basi usitanie wenzakoo
kitambi ni ugonjwa na weengi wanahangaika lakini wanashindwa kukiondoa na vinawakera
kwa hiyo kama wee huoni tatizo kwenye kitambi
basi na wenzio hawaoni tatizo kwenye rangii
 
Hujui kitu, nenda DSTV inapatikana mjini tu ila nenda hata huko mahenge kijijini kabisa isyaga watu ni azam tu huwezi kununua DSTV ili uangalie game za kimataifa za simba
Kuna kauli mbiu ya Simba inasema 'Next level' hivyo wamejipanga kukuza brand yao kwenye Nchi nyingine, Hapa Tanzania wameshamaliza kazi.

Simba itafuatiliwa kule iliposajili wachezaji wa Nje - Malawi, Mali, Senegal, DRC, Zambia, Burundi, Uganda na Kenya. Pia kumbuka ina watu wa benchi la ufundi toka Ufaransa, Morocco na Brazil huko kote ina watu watakaofuatilia mwenendo wa Simba.
 
sikiliza nikwambie kanuni ya utani ni moja tuu
hupendi kutaniwa basi usitanie wenzakoo
kitambi ni ugonjwa na weengi wanahangaika lakini wanashindwa kukiondoa na vinawakera
kwa hiyo kama wee huoni tatizo kwenye kitambi
basi na wenzio hawaoni tatizo kwenye rangii
Kuna mambo mengi u aweza kumtania mtu lakini kuingiza mapungufu ya kimaumbile kwenye utani ni kufuru kubwa kwa Mungu iyekuumba jinsi ulivyo na akamuumba jinsi ulivyo. Ingekuwa vinapokezana angekupa tu hiyo hali hata siku moja uone.Huku jua linakuletea madhara, huku ngozi inaharibika, huku uwezi kufanya kazi ngumu, huku kila ukipita watu wanakuangalia na kutoa kebehi na maneno machafu dhidi yako
 
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.

Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.

Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu

Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga

Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu

Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Mmmmh Azam ndio wafadhili wa ligi
 
Kila siku niliwaambia watu maskini hawezi mtukana tajiri...

Mimi maishani kwangu najitahidi sana kuwa karibu na matajiri...spendi muda mwingi kukaa na maskini kupiga majungu never..muda mwingi maskini hawana ubunufu wowote wa kimaisha.

Tajiri ni tajiri tu...na mbaya zaidi matajiri wote wanaongea lugha moja..

Usitegemee chini ya jua yule jamaa anayelialia kila siku akamgombanisha MO na GSM ama MO na Bakhresa...sahau milele..
 
!
20210818_150346.jpg
 
Azam wanawapa Yanga 2.4bn kwa mwaka kwa kurusha contents zao zote ambazo hazihusiani na ligi kuu ya Tz bara, Je DSTV watakubali kutoa pesa yote hiyo, vipi kuhusu promotion na hype wanayofanya AzamTV, je DSTV watahangaika pia kwa level hiyo hiyo?

MO ana ugomvi binafsi na Bakharesa ila anajaribu kufanya huu ugomvi uwe wa taasis nzima ya Simba kitu ambacho si sahihi, mashabiki na wapenzi wa Simba tutaenda kukosa contents sababu za kijinga, pia brand na ufuasi mkubwa ulioanza kupanda kwa Simba utapotea.
 
Kila la kheri huko muendako

Azam tv wanataka kuvitoa vilabu vya Tanzania katika utumwa kumbe nyinyi mnapenda utumwa

Dstv wapo miaka mingi kabla ya azam tv mbona hawakutoa pesa kama ambazo sasa azam wanatoara

Kila la kheri huko muendako

Azam tv wanataka kuvitoa vilabu vya Tanzania katika utumwa kumbe nyinyi mnapenda utumwa

Dstv wapo miaka mingi kabla ya azam tv mbona hawakutoa pesa kama ambazo sasa azam wanatoa
Rage hakukosea kuwaita hawa mbumbumbu
 
Azam wanawapa Yanga 2.4bn kwa mwaka kwa kurusha contents zao zote ambazo hazihusiani na ligi kuu ya Tz bara, Je DSTV watakubali kutoa pesa yote hiyo, vipi kuhusu promotion na hype wanayofanya AzamTV, je DSTV watahangaika pia kwa level hiyo hiyo?

MO ana ugomvi binafsi na Bakharesa ila anajaribu kufanya huu ugomvi uwe wa taasis nzima ya Simba kitu ambacho si sahihi, mashabiki na wapenzi wa Simba tutaenda kukosa contents sababu za kijinga, pia brand na ufuasi mkubwa ulioanza kupanda kwa Simba utapotea.
Mo anajua fika hizo comments zenu zitatufuata Dstv, yule muhindi sio mjinga contents za nn tena mpira uchezeke uwanjani, mambo ya uwekezaji yeye ndio mwekezaji tutakuja kulalamika tukiambiwa Simba imeshindwa kulipa wachezaji, Simba imeshindwa saijili, Simba imepata hasara, Simba haifanyi vizuri....usijikute unauchungu zaidi ya tajiri

Kifupi jinsi Azam walivyo plan kuirudisha hiyo B2.4 kwa mwaka ndivyo hivyohivyo Simba watairudisha tena na zaidi.

Club ikiambua ku risk na kujiendesha kama taasisi na sio kupitia slope inaweza kujiwekea vyanzo vingi vya mapato na sio kuwafaidisha wawekezaji hadi kwenye vitu rahisi kama hivi

Kumbuka huo mkataba mloingia na Azam hata Millad Ayo na Global watakuwa wanachukua taarifa zenu kwa ruhusa ya Azam kama watataka cha juu haijulikani ila kifupi mmejiingiza kwenye ndoa ya mkeka wenyewe

Trust the process, Simba nguvu moja
 
Mo anajua fika hizo comments zenu nitatufuata Dstv, yule muhindi sio mjinga
Kilele cha Simba day kilitakiwa kiwe tar 28 next weekend ila wameamua wasogeze mbele sababu ya ugomvi wa Mo na Bakharesa, MO amegoma AzamTV asionyeshe Simba day, hizi ni tabia za kususa susa ni za watu ambao hawaja balehe vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom