Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,157
Game over!Sijajua kwa sasa, hiyo 2-0 ilikua HT.
Game over!Sijajua kwa sasa, hiyo 2-0 ilikua HT.
Simba haiwezi kushaka brand kisa Azam, shida ya utopolo mnajifananisha na simba wakati kawaacha mbali. Simba saizi inapambana na kutanua masoko afu nyie mnafikiri tunawaza sawa na akili zenuAzam wanawapa Yanga 2.4bn kwa mwaka kwa kurusha contents zao zote ambazo hazihusiani na ligi kuu ya Tz bara, Je DSTV watakubali kutoa pesa yote hiyo, vipi kuhusu promotion na hype wanayofanya AzamTV, je DSTV watahangaika pia kwa level hiyo hiyo?
MO ana ugomvi binafsi na Bakharesa ila anajaribu kufanya huu ugomvi uwe wa taasis nzima ya Simba kitu ambacho si sahihi, mashabiki na wapenzi wa Simba tutaenda kukosa contents sababu za kijinga, pia brand na ufuasi mkubwa ulioanza kupanda kwa Simba utapotea.
Kama ni bure sawa dstv wataonyesha mechi zenu ila kuhusu pesa msahau majaburu hawanaga pesa za mchezoHali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.
Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.
Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu
Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga
Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu
Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Rage hakukosea kuwaita Mambumbumbu
Huna uwezo huoHali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.
Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.
Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu
Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga
Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu
Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Mazoezi uwanja wa Bunju hata Timu ya kagera imekuzidi.Jitafakari acha mbwembwe huna lolote wewe kibwengo tuSimba haiwezi kushaka brand kisa Azam, shida ya utopolo mnajifananisha na simba wakati kawaacha mbali. Simba saizi inapambana na kutanua masoko afu nyie mnafikiri tunawaza sawa na akili zenu
Kibwengo wewe,nyodo zote hizo mazoezi uwanja wa Bunju uliojaa magugu wachezaji wanalala gesti za kariakoo.Uwe unatafakari kabla ya kusema na ndiyo maana Rage aliwaita MambumbumbuSimba haiwezi kushaka brand kisa Azam, shida ya utopolo mnajifananisha na simba wakati kawaacha mbali. Simba saizi inapambana na kutanua masoko afu nyie mnafikiri tunawaza sawa na akili zenu