tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Umeona tofauti? Anakunywa kombe....maana yake kuna dawa inaingia mwilini....!
Yaani unaanza kusoma kuomba kisha unampa dawa! Siyo kisomo peke yake.....
makkah ndio mji pekee unaoonekana kwa satellite usiku ukiwa una'ngaa kama nyota iliyoko duniani
Ha ha ha ha atari sana
Ez bolah na bila kusahau uamshoLord Resistance Army......
NB:hiyo hali sana sana hutokea katika mfungo wa ramadhani na Hijja ambapo hata usiku huwa kunaangaza mwaka kwakuwa wengine hukesha wakiomba...picha zipo sema sipo nazo.we jaribu kugoogle utazikuta mkuu...Wale mamajusi hawajawahi kuona wala kuusimulia. Waliona nyota ya Bwana Yesu angani na ikawaongoza mpaka alipolazwa horini.
Hilo la macca kuonekana kupitia setilaiti ikingaa kama nyota pekee hapa duniani, kama ni kweli basi hiyo nyota jua ni ya yule mfalme wa dunia hii ambaye ni nani? Ni kumbushe tafadhari.
Wakikujibu nitag please!Na makka kibla kinaelekea wapi?
KUMDHIHAKI Mtume wetu kwa kumuit "mudy" utasema ni size yako...chengine."mvaa yeboyebo mwenzenu"..acha dharau.ata Yesu aliishi kwa sandals.hivyo viatu unavyojinasibu navyo ndiyo vinafanya mnaoza miguu kutwa kusaka madawa kumbe viatu unavyovaa.sikatai wale wa ofisini ni bora kuheshimu kazi na kuvaa kikazi lakini elewa kuwa waislamu wengi kupendelea sandals siyo ushamba wala umaskini ..si kwa siku mara tano watakiwa uswali.na huwezi kuswali hujatwadha/kunawa viungo vya nje vya mwili mfano mikono ,miguu na kichwa..hii pia ni sababu wengi hawapendi kuvaa viatu bali huvaa sandals na siyo yeboyebo kama usemavyo kwasababu hizo ziko kotekote hadi wakristo wengi mnazivaa izo yeboyebo..kama wahitaji kufunzwa kiymtu basi jifunze kuuliza kistaarabuNasikia Mudy amekufa hana sikio moja kwa sababu ya kuendekeza matifu ya kulazimisja watu wasikimu.Mnisamehe wakina munyazi Mungu nimeambiwa na mvaa yebo yebo mwenzenu hapa
Alienda kutalii na kurudi then akafaridi dunia. Wamemzika MadinaMudy yuko mbinguni?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Fafanua hapo mkuuKitu kizuri kuhusu uislam yani ukitawaza tu dhambi zimefutika
Huu uongoKabla ya kuzungumzia Quran biblia imesema mbinguni utapewa mara 100 kile ulichokuwanacho duniani. Ina maana kama ulliacha mashamba heka mia utapata mara mia zaidi na kama ulikuwa na mke mmoja duniani mbinguni utapewa mara 100 yaani wanawake 100. Kuzungumzia bikira 72 ni ushamba maana biblia inaahidi wake 100. Nini wake 72 bhana....
Anzia hapo kujifunza.
Ukweli unauma. Hukusema uongo kwenye bikira 72 ndani ya Quran ila kwa kuwa na biblia nayo imesema hivyohivyo unaita uongo......!Huu uongo
Si ndio nimeongezea kwenye idadi? Mbona unajishtukia? Kwani wapi nimesema wao ni wakristo? Yaani uzwazwa wako haujaisha aisee..
Mtume kazaliwa Maka kafia Madina na kazikwa MadinaNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Ndio salam mliyofundishwa huko kanisani kwenu?Salamareko mvaa yeboyebo.. Malyenge...
Hivi saa hii tunaongea Yesu yuko wapi?Mji Pekee wa heshima ni Vatican name yesu atashukia pale kuja kutuchukua mana yeye diye njia kweli na uzima. Waislam mmpotea njia rudini Kwa yesu
Mjibu kistaarabu mkuu, wengi upande wa pili hawajui kwamba na yeye kafika huko wanamjua mmoja tu aliyepazwa basi, tena mwambie kawaona mitume zaid ya nane akiwemo huyu wao na ameongea naye, na amepanda mbingu moja baada ya nyingineUsijifanye hujaelewa wakati umeelewa...