Mvaa yeboyebo na msuli upooNdio salam mliyofundishwa huko kanisani kwenu?
Yuko mbinguni lakini Mohamad Yuko chini kaburini bado anamsubili yesu amfufueHivi saa hii tunaongea Yesu yuko wapi?
Nimeukiza kuhusu Yesu tu lakini nashangaa unanijibu kuhusu Muhammad. Hivi ninyi wakristo mbona mna matatizo sana?Yuko mbinguni lakini Mohamad Yuko chini kaburini bado anamsubili yesu amfufue
Tunaomba ushahidi wa andiko ndugu.Mji Pekee wa heshima ni Vatican name yesu atashukia pale kuja kutuchukua mana yeye diye njia kweli na uzima. Waislam mmpotea njia rudini Kwa yesu
Weka vizuri kidogo maana makanisani kuna ibada pia na tunaona wanawake na wanaume pamoja.Ndo mji pekee ibada wanawake na wanaume usali pamoja
Kumeongelewa maka ndugu soma kwanza thread nzima bossWeka vizuri kidogo maana makanisani kuna ibada pia na tunaona wanawake na wanaume pamoja.
Mfano ungesema Maka ndio mji pekee wa kiislam ambapo wanawake na wanaume hufanya ibada pamoja, ingeonekana unalinganisha na miji mingine ya kiislam, au ungesema ndiko ambako waislamu wa jinsia tofauti husali pamoja. Mtoa maana sidhani kama alikusudia kulinganisha maka na miji mingine ya kiislamu bali na miji yote duniani. Wewe pia umeweka hoja yako kwa ujumla huo huo ambapo inakataaa.Kumeongelewa maka ndugu soma kwanza thread nzima boss
Tunaomba ushahidi wa andiko ndugu.
Vatican na Yesu vina uhusiano upi ?
na labda nikusahihishe kidogo.
Vatican city imelaumiwa na UMOJA WA MATAIFA kwa kuendesha makundi mbali mbali ya magwiji wa usambazaji wa Unga, human trafficking na utakatishaji wa pesa Haramu.
ushahidi![]()
Analysis: What the Vatican does to stop money laundering
habari hii imaendika na GAZETI KUU LA KATOLIKI na sio wengine.
Sasa usiseme Vatican ni MJI WA HESHIMA manake HESHIMA SIO MAVAZI wala Majengo.
Ahsanta.

Vipi kuhusu Vatican?Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
basi waachieni waisrael Jerusalem, ninyi si mnao huo mji bora jamani, ili amani ipatikane middle east.Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa MGEN atajichumia dhambi? Maana yeye kila siku ni kumtukana Allah na Mtume Mohammad......'Kila mtu anayeleta mada za kuchokozana imani na matusi na kasha za watakatifu wa Mungu atajichumia dhambi kubwa sana. Kabla hujatuma post yako jiulize mara mbili na utafakari kwa kina nini itakuwa reactions za wasomaji, tusipende kulinganisha imani moja na nyingine, tuchunge vinywa vyetu na maandishi yetu yatakuja kutuhukumu. Bora tuhimizane kuacha dhambi na kutenda mema haya ndiyo mambo yatatufikisha mbinguni kama siyo peponi. Lkn kubishana nani mwenye imani bora hatuta pata dhawabu yeyote kama siyo kichuma dhambi tu, imani zote zinakataza kutenda dhambi, tulinganie hapo tuache kutukanana, midomo yetu na maandishi yetu yatatupeleka motoni hakika, let's be Wise.
nikwambie mara ngapi mimi mgen sio mtukanaji ilaha ni Mtumishi wa Yesu tuKwa hiyo unataka kusema kuwa MGEN atajichumia dhambi? Maana yeye kila siku ni kumtukana Allah na Mtume Mohammad......'
wekaga tusi moja nililo tukana
mimi huwa ninanukuu ilimu islamu...ref;
ni matusi
nitake radhi na umuombe maghufira allah kwa kuitakidi ilimu islam ni matusi 
Uongo huo..Mungu wa waislamu hajui lugha zingine
Anajua lugha ya bara la Asia
Pia ukimwomba Dua UKIWA umeelekeza uso mashariki,magharibi,kusini
Hakusikilizi
Anasikia ukielekeza uso kaskazini
Uongo wangu uko wapiUongo huo..
Huo fahari kutumia luvha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.Uongo wangu uko wapi
Wakati Dunia nzima wanatumia lugha moja?