Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Huhuhuuuu sasa nani kawafuga ibadani mwao?
Si meyafuga hadi mmeyapa sura ya Surrat jinn
Hata ninyi mmeyafuga. Soma Marko 3. Tatizo mmefundishwa kanisani kutukana badala ya kujifunza. Hebu niambie kanisani kwa nini huwa mnayafukuza mapepo yatoke? Yanakaa humo? Kuhusu suratul Jin kwenye Quran tumeyapa sura au wewe ndio huelewi? Sura inasema kundi moja la majini liliisikia Quran inasomwa yakasema hakika Quran hii ni ajabu tuaamini imetoka kwa mwenyezi Mungu. Haya hebu niambie tatizo nini hiyo sura? Kama ina tatizo na sura kwenye biblia ya Marko nayo itakuwa na matatizo kama Quran maana humo ndio tunaambiwa majini yalipomwona Yesu yalimkiri kuwa ni mwana wa Mungu. Yaani yaliposema hivyo ndio na binadamu nao wakamwita Yesu mwana wa Mungu baada ya kuyasikia majina yanamwita hivyo. Twende kimaandiko.
 
Ukisoma elimu ya uislamu unaishia kua Mganga au mrozi wa kuruani.
 
Msipende kutukana uislam bila kwanza kujifunza. Kimaabdiko waislam wako juu zaidi. Wanao uwezo mkubwa wa kusoma na kuelewa. Biblia tunaijua nje ndani na si kubabaisha kama mnavyookota maandiko kwenye mitandao. Mfanonaposema Muhammad alibaka wanawake huwa nashangaa maana hakuna andiko linalosema hivyo kwenye Quran ama hadith. Sasa mkibanwa wakristo mna quote sheria za Tanzania! Vichekesho sana jamani.....
 
Kwa mujibu wa Kurani mwanaume akienda peponi anapewa bikra 72 na mito ya pombe je mwanamke akifa anapewa nini akienda peponi????

Kabla ya kuzungumzia Quran biblia imesema mbinguni utapewa mara 100 kile ulichokuwanacho duniani. Ina maana kama ulliacha mashamba heka mia utapata mara mia zaidi na kama ulikuwa na mke mmoja duniani mbinguni utapewa mara 100 yaani wanawake 100. Kuzungumzia bikira 72 ni ushamba maana biblia inaahidi wake 100. Nini wake 72 bhana....
Anzia hapo kujifunza.
 
Katikati ya Dunia kwa reference ipi kisayansi?
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
 
Ww unaona kanzu zetu na zenu ni sawasawa
Ziko sawasawa. Angalia anayovaa padri jumapili kisha linganisha na zetu. Au ile anayovaa papa mtakatifu. Halafu huo upuuzi wa kujifanya kanzu ni tofauti ulitaka ziweje labda?
 
Nyie si ndio mmekalilishwa kua Mungu anaongea kiarabu so lazima ujue kiarabu ila uweze kuwaailiana nae..

Mpuuzi gani kakuambia Qu'ran ndio Kiarab?

Ni uzembe kuutangazia Ulimwengu
Kuwa,
-Hujui-ya-kuwa hujui.
 
Ona aibu kusema uongo mkuu
Haya lete hiyo tofauti. Na hii tofauti ya rangi au muundo ama nini? Tatizo wakristo hamwendi kimaandiko. Mnaubishi wa kikanisakanisa tu bila scientific evidence. Umehama kwenye majini ya kwenye Quran na Muhammad sasa umehamia kwenye utofauti wa Kanzu.. mwisho utamalizia kwa kutukana.....
 
Ukisoma elimu ya uislamu unaishia kua Mganga au mrozi wa kuruani.
Mjibu mwenzako kwa hoja, na vifungu ama vya ktk biblia au Qur'an, ( kama unaijua), ukijibu namna hii unaangusha ukristo. Hivi kwa nini ndugu zang wa kristo mnakuwaga si wavumilivu ktk masuala haya? Mara nyingi hukimbilia kashfa au matusi. Mnaitia DOA dini kiasi cha kutilia shaka ukweli wake.
 
Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Safi sana
 
Back
Top Bottom