Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Huoni fahari kutumia lugha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.
Lakini leo biblia icbomwe moto leo hote hamtaweza kuiandika. Kwanza uwezo wa kukariri aya zote kichwani hamna!
 
Huo fahari kutumia luvha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.
Lakini leo biblia icbomwe moto leo hote hamtaweza kuiandika. Kwanza uwezo wa kukariri aya zote kichwani hamna!
Kumbe mnatumia lugha moja kusudi mpate ufahari

Hiyo sio Dini ya Mungu

Hiyo Ni Dini ya kuungaunga
 
Kumbe mnatumia lugha moja kusudi mpate ufahari

Hiyo sio Dini ya Mungu

Hiyo Ni Dini ya kuungaunga
Dini ya kuungaunga ni ukristo. Mara roho mtakatifu.....mara Mungu mwana......
Yaani waungu watatu wanaungwaungwa ili kupata Mungu mmoja. Hahahahahaaaaaa...!
 
Hiyo haipo kwenye uislam. Ipo kwenye dini zingine za kuungaunga tu....
hapo asbab allah haelewi lugha nyingine
42-surah-ash-shura-the-council-8-728.jpg
kumbe kuna waaakti unakubali ukweli eeh
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Allah hajui lugha zingine
Yeye hupenda lugha moja
Lugha ya Quran

Hapo ndipo nauona uislam una Shaka ndani yake

Hii Ni Dini ya kuunga
 
Mji bora kivipi? Mtoa mada umeshatembelea miji mingapi? Zurich, frankfurt, GENIVA Tokyo yote hiyo mecca ndio.boraa mmmh acha kutupiga kamba
 
Waefeso 6:12

11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Safi
 
Huoni fahari kutumia lugha moja mumwomba Mungu? Leo Quran ichomwe moto yote waislam wataiandika maana lugha ni moja na kila mwislam ana aya kichwani.
Lakini leo biblia icbomwe moto leo hote hamtaweza kuiandika. Kwanza uwezo wa kukariri aya zote kichwani hamna!

kuna nani asiejua Maamrisho 10 ya Mwenyezi? hadi uanze kukariri qaraa
1632.jpg
 
Mji bora kivipi? Mtoa mada umeshatembelea miji mingapi? Zurich, frankfurt, GENIVA Tokyo yote hiyo mecca ndio.boraa mmmh acha kutupiga kamba
Acha ubishi mkuu
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Ni mawazo yako yaliyobebwa na kapu bovu
 
Back
Top Bottom