Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Uislamu ni dini ya mwenyezi mungu na yeye ndio atautetea na kama mnabisha endeleeni kitakachowapata ni haki yenu na kama mnataka kujua kuhusu uislam jifunze.
 
Tangu lini Mungu akawa na dini hebu elevuka mfuasi wa Allah
 
NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?
QURAN 92 1-3

1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.
Huo ndio upuuzi mliofundishwa kanisani.
 
Mungu hawezi penda mnachokifanya kwenye huu uzi.admini sijui upo wapi unaacha watu wanaanza kukashifiana dini, siyo lengo la JR hili. admin unakubali imani za watu zinadhalilika, wengine hawawezi penda kuona dini zinachafuliwa humu. suala la imani ni personal sana .ndo maana siku credibility ya JR inaonekana kushuka kwa sababu kama hizi.ADMIN UPO ACCOUNTABLE KWA HILI.
 
Takbiiiir hakika hawa wamewahi mizigo 40 huko peponi mda huu wanangonoka tu
Inshallah munyaizi Mungu atufanyie wepesi ili tuifikie hyo pepo yenye mabikra na mito ya ulevi
Mtumishi hakuna mzigo wowote kule
41018a3ae6004ffc5eced6fe2b935f9a.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mungu hawezi penda mnachokifanya kwenye huu uzi.admini sijui upo wapi unaacha watu wanaanza kukashifiana dini, siyo lengo la JR hili. admin unakubali imani za watu zinadhalilika, wengine hawawezi penda kuona dini zinachafuliwa humu. suala la imani ni personal sana .ndo maana siku credibility ya JR inaonekana kushuka kwa sababu kama hizi.ADMIN UPO ACCOUNTABLE KWA HILI.
Wewe huoni hao wanaosema Mtume Muhammad ni mbakaji ndio wanakashifu? Hilo hulioni.....
Ila ukristo ukijibiwa kwa maandiko ndo unasema kuna kashfa! Na wale waliosema uislam rafikiye majini huoni kama wanakashfu pia? Maana hawana ushahidi wowote....
Tatizo ukristo ukizidiwa ndio mnakimbilia kumtaka admin awasaidie....
Mbona humu kuna mada kibao mpaka leo hazijafutwa zinazoukashfu uislam mbona hamjamwomba admin azifute?
 
Uislamu ni dini ya mwenyezi mungu na yeye ndio atautetea na kama mnabisha endeleeni kitakachowapata ni haki yenu na kama mnataka kujua kuhusu uislam jifunze.
umeona dua mbaya aliyo omba muhammad kwa Mungu ili awaangamize Wakristo na Wayahudi
32f47-9-30252631.jpg
akagonga mwamba hadi leo Wakristo wanadunda...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wewe huoni hao wanaosema Mtume Muhammad ni mbakaji ndio wanakashifu? Hilo hulioni.....
Ila ukristo ukijibiwa kwa maandiko ndo unasema kuna kashfa! Na wale waliosema uislam rafikiye majini huoni kama wanakashfu pia? Maana hawana ushahidi wowote....
Tatizo ukristo ukizidiwa ndio mnakimbilia kumtaka admin awasaidie....
Mbona humu kuna mada kibao mpaka leo hazijafutwa zinazoukashfu uislam mbona hamjamwomba admin azifute?
msamehe bure hakuna kashfa humu ilaha tunalinganiana deen/Imaan mwambie kama hayawezi asije huku...kwa Mujibu wa Ukristo kuanzia allah jiburilu muhammad na waislamu woote duniani ni makafir na ushahidi
a8083e9df69bafa54998103d14668f75.jpg
na nyinyi malyenge mnatuitaje?!
 
Ukristo ni upagani! Kwa hiyo si hoja wala kiroja kuropokaropoka maneno ya kipagani.....
 
unaona raha ilivyo mnatuita wapagani sisi tunawaita makafir , mwisho wa siku nakuita unichinjie mbuzi katoliki ili tushiriki pamoja Pasaka na wewe ikifika idi unanialika kula pilau makinikia
 
Mtume Paulo ndio amesema hivyo katika Matendo ya Mitume....kwamba ukristo ni Upagani!
Halafu neno ukafiri hutalikuta kwenye biblia. Limo kwenye Quran peke yake!
 
The exact center of the earth, was found to be near Ankara,capital of Turkey, at latitude 39° and longitude 34° mpe hiyo mkuu
Asante kamanda, wamekupata, Mie napenda sana vielelezo vya ufafanuzi kama vyako mkuu!
 
Back
Top Bottom