Mecca ndio mji bora duniani

wee umekaa Hapo kibarazani kupiga porojo za mudi. Fanyeni kazi.

Umeulizwa dingi lake mudi Mzee ABDALAH lilikuwa LIISLAM?

Kamoooonn jibu swali
Mshukuru sana shemeji yako alokutafutia ww ajira ukakosa kukaa kibarazani
 
Mungu Yupi?
inaonekana umerudia kusoma halafu hukuelewa. nikuulize tena, unajua kusoma na kuelewa. kama jibu ni ndio rudia kusoma post namba 363 halafu uelewe. ukirudisha hili swali consider us done. labda ntaendelea na mjadala mahali pengine.
 
Hakuna hilo andiko wewe! Ni wapi kwenye Quran wakristo NI WA CHAMUMGU?
Tatizo waislam wengi hawaelewi quran ndio maana kuna mikanganyiko mingi. Ukisoma suratil Baqara 2:62 inaeleza wazi kwamba wayahudi na Waksrito na Wasabai na yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu watalipwa kwa mazuri waliyoyafanya.
2: 62. Hakika Walio amini, na Wayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye
muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa
yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Tatizo hizi hadithi ambazo Mungu kazikataza kwenye Quran ndio tunazifua kuliko Quran . Kwa mfano hakuna sehemu kwenye Quran imesema watu wakienda hija wampige shetani mawe. Quran iko very clear tujiepusha na mawe au masanamu lakini kwasababu watu wameiacha Quran nakufuata hadith unaona wanaenda kubusu na kulishika lile jiwe jeusi. Ukisoma Quran Surat Baqara, Surat Maida na Surat Hajj inaelezea hija yote na mambo gani yakufanya ukiwa Hija. Na hilo la kumpiga shetani mawe sijui wamelitoa wapi sababu Quran inasema majini na mashetani wameubwa kwa moto kwa hiyo huwezi kuwadhuru kwa kutumia vitu kama mawe, silaha etc.
 
hebu nijuze utaratibu unavokuwa. yani wanaanza kubusu lile jiwe kwani unaweza kulisogelea? au unalibusu kwa mbali. umbali unaoruhusiwa ni mita ngapi?
halafu wakimaliza kulibusu mawe wanayapiga wapi? kwenye jiwe hilo hilo?
 
Wakikujibu nitag mkuu
 
Andiko gani hilo ebu nipe kifungu nisome mwenyewe
 
Hawa wa puuzi waliuliza swali Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu alitabiriwa na nabii/manabii gani? Nani alishuhudia au muujiza gani pasi shaka ulidhihirisha kushushiwa kwake Quran Tukufu toka kwa Mungu.
Hata Yesu hajawahi kutabiriwa! Kama unalo andiko toa....!
 
inaonekana umerudia kusoma halafu hukuelewa. nikuulize tena, unajua kusoma na kuelewa. kama jibu ni ndio rudia kusoma post namba 363 halafu uelewe. ukirudisha hili swali consider us done. labda ntaendelea na mjadala mahali pengine.
Nakuuliza tena ni yule Mungu yule aliyeuawa na wayahudi?
 
Nakuuliza tena ni yule Mungu yule aliyeuawa na wayahudi?

sasa umejipambanua kidogo. nazungumzia Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. ni yeye aliyefanyika mwili wa mwanadamu uliouwawa kwa matakwa ya Mungu mwenyewe pamoja na wayahudi kuwa na mkono kwenye mauwaji hayo. Ndio ni yeye huyo huyo aliyeumba mbingu na nchi. hii inaweza kuwa ngumu kidogo kwako kuelewa.
 
Ngumu kuelewa? Ni kwa sababu ni uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…