nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 2,135
- 1,303
Wewe wasema, makanisa yalikuwepo kabla Ya romaUkristo maana yake ni Uroma. Haya madhehebu mengine hayana chao...
Wewe wasema, makanisa yalikuwepo kabla Ya romaUkristo maana yake ni Uroma. Haya madhehebu mengine hayana chao...
Yalikuwa dhehebu gani?Wewe wasema, makanisa yalikuwepo kabla Ya roma
Siyo kweli! Mtume Muhammad (S.A.W.) alizikwa Madina siyo MeccaNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.

Hiyo imeshasahihishwa. Uwe unasoma post za wenzio....Siyo kweli! Mtume Muhammad (S.A.W.) alizikwa Madina siyo Mecca
Hata hiyo isingenihusu mkuuIla ungetajwa Jerusaleem ingekuhusu kisa unadhani ni mji mtakatifu wa kikristo?
Kwahiyo?Mji mtakatifu wa kikristo ni Vatican!
Basi Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania. Je inakuhusu?Hata hiyo isingenihusu mkuu
Kwahiyo hapo hakuna matusi. We si unaona matusi yote kisa ni mji mtakatifu wa kiislam.Kwahiyo?
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Kama ni kukariri ina maana tumesoma mahali kisha tukakariri.Muache kukariri jamani.....toka lini Mecca ikawa kati kati ya dunia, soma ramani yako ya dunia.
Mkuu shida nini, mbona unanitafuta tafuta, maoni yangu ndio hayo. Nimesema huu uzi aunihusu, kwa HeriBasi Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania. Je inakuhusu?
Wasalime huko uliko.Mkuu shida nini, mbona unanitafuta tafuta, maoni yangu ndio hayo. Nimesema huu uzi aunihusu, kwa Heri
Onyesha ni wapi nimesema upuuzi huo?Kwahiyo hapo hakuna matusi. We si unaona matusi yote kisa ni mji mtakatifu wa kiislam.
Da'Vinci
Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....
Sasa kama Yesu hakuwa na nguvu kama Mungu kwanini watu wanataka Muhammad awe na nguvu kama Mungu? Wanambeza kisa alikufa...walitaka aishi milele?Imeandikwa mwana wa Mungu atazaliwaa atajaribu atateswa na kufa na siku ya tatu atafufuka ni unabii ulitolewa kwenye kitabu cha isaya, hapo alikuwa anatimiza unabii na yesu alikuwa kama mwanadamu wa kawaida hakuwa na nguvu kama Mungu.
Inaitwa divide and rule...ukisoma comments watu wanavyolumbana kisa dini duuh...SMDH!Walituletea dini ili watutawale wametuachia dini sisi ndo tunajifanya walimu wa dini aisee kweli weusi tumelaaniwa na kama kweli mungu yupo uyu wakwetu katuzira kabisa