Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Mjibu mwenzako kwa hoja, na vifungu ama vya ktk biblia au Qur'an, ( kama unaijua), ukijibu namna hii unaangusha ukristo. Hivi kwa nini ndugu zang wa kristo mnakuwaga si wavumilivu ktk masuala haya? Mara nyingi hukimbilia kashfa au matusi. Mnaitia DOA dini kiasi cha kutilia shaka ukweli wake.
Fact yani ukiugusa uislamu tu ni shida tu....thread ya kawaida BT imekuwa nongwa...
 
Waisilam wanavumilia na kuthamini sana uwepo wa ndg zetu wakristo. Lakini hali ni tofauti kwa hawa wa upande wa pili, thread nyingi humu hata a kawaida wakristo huzihusisha na dini yao lkn waisilamu huungana nao, kwa mfano mtu anaanza kwa kusema tumsifu yesu Kristo, wote tunaungana kwa kuitikia bila ubaguzi au mtu anaweza kuomba ushauri utasikia rudi kwa bwana, kana kwamba anaeomba ushauri ni wa imani yako. Lkn uwezi kukuta matusi kutoka kwa isilam, hali ni tofauti kwa wenzetu mbona km hamjiamini hivi!!? Mbona km mna stress hivi?
 
Kabla ya kuzungumzia Quran biblia imesema mbinguni utapewa mara 100 kile ulichokuwanacho duniani. Ina maana kama ulliacha mashamba heka mia utapata mara mia zaidi na kama ulikuwa na mke mmoja duniani mbinguni utapewa mara 100 yaani wanawake 100. Kuzungumzia bikira 72 ni ushamba maana biblia inaahidi wake 100. Nini wake 72 bhana....
Anzia hapo kujifunza.
We noumaaa kete v2
 
Ziko sawasawa. Angalia anayovaa padri jumapili kisha linganisha na zetu. Au ile anayovaa papa mtakatifu. Halafu huo upuuzi wa kujifanya kanzu ni tofauti ulitaka ziweje labda?
Kwa mfano zikiwa tofaut lakin si ni kanzu
 
Mie ni muislam, lakin sidhani kama haya mambo mengine yana maana sana, wakati mwingine ndugu zangu katika imani mnependa kelele tu, watakuja hapa watakashifu dini, watatusi kila kitu, sijui huwq mnajiskiaje, kuleta mabishano yasiyo na kichwa wala mguu
umenena kweli tupu
 
Saudia imepata kitega uchumi kizuri hasa tunakoelelea Ambako mafuta yanakosa bei
 
Kabisa mkuuu, lazima wenyej kwanza wawe mfano sio wewe wa third world ndio washabikia
 
Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Mungu wenu wa kujilipua
 
edwayne
Pole sana kwa kudhani kuwa Yesu alipaa.
Tatizo tujijadili la kupaa Yesu mada itafungwa. Maana hapo wazungu ndipo walipotutawala kiakili kwa kutuaminisha Mungu alimchukua Yesu mbinguni kwa kupaa. Huo ni uongo mkubwa kabisa kupata kutokea. Anyway huko sitaki kwenda. Kwenye Quran imeandikwa kila binadamu lazima atakufa. Sasa kama Quran ilisema hivyo halafu Mtume Muhammad apae mbinguni wakati alikuwa binadamu Quran ingekuwa imesema uongo mkubwa kama ambavyo biblia isivyo na ushahidi kuhusu kupaa kwa Yesu.
Nitafafanua kwa kirefu mtu akitaka kujifunza.
Kwa hiyo kwa Mtume Muhammad kufa ni faraja kubwa maana hapo hakuna udanganyifu wa kiimani kama ilivyo kwa ukristo.
 
Umejuaje kuwa ni uko katikati ya dunia wacha kuleta habari za kufikirika na hiyo qibla ndo nn
 
Back
Top Bottom