Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Yote hayo ni mashirika ya kijasusi ya Marekani. Upo?Kwa
Alshabaab, Boko Haram, Islamic State, etc
Yote hayo ni mashirika ya kijasusi ya Marekani. Upo?Kwa
Alshabaab, Boko Haram, Islamic State, etc
tito kawaharibuNa nyie mnavyoaema kua ukitaka kuona pepo aheeti ujue kiarabu
Lazima uvae kanzu. Lazima ufuge ndevu maskini majini yamewaharibu
baba yake yesu alikuwa mkristo?Sawa mkuu.
Je baba ake mtume alikua mwislamu?
Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaB ni Kuwa wanaua maajent waoYote hayo ni mashirika ya kijasusi ya Marekani. Upo?
Aende mbinguni anakujua,,kwanza nani atamruhusuMtume alienda mbinguni? Hebu fafanua
Nifafanue nini kwani hamjui? Mbona ninyi ni mabibgwa wa ku google mkapata maelezo ya mtume Muhammad. Mnashindwaje kuelewa kuhusu ugaidi?Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaa ni Kuwa wanaua maajent wao
Fafanua zaidi mkuu
Ni vzr kuexhaust maelezo Ili tukuelewe vzr, binafsi Sijaelewa point yako
Aliyekwambia drone huwa zinaua magaidi ni nani? Huwa wanaua viongozi wa kiislam kwa kisingizio wanamua kiongozi wa alshaabab etc.Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaB ni Kuwa wanaua maajent wao
Fafanua zaidi mkuu
Ni vzr kuexhaust maelezo Ili tukuelewe vzr, binafsi Sijaelewa point yako
ukisoma elimu ya kikristo utaishia kuwa nabii titoUkisoma elimu ya uislamu unaishia kua Mganga au mrozi wa kuruani.
Hadi mlipotokea nyie mkaanza kuleta kashfa na kejeli kwa waislamu.Nafikiri watanzania WA Imani mbalimbali tulikuwa tunavumiliana HADi walipotokea ""
Hata ninyi mmeyafuga. Soma Marko 3. Tatizo mmefundishwa kanisani kutukana badala ya kujifunza. Hebu niambie kanisani kwa nini huwa mnayafukuza mapepo yatoke? Yanakaa humo? Kuhusu suratul Jin kwenye Quran tumeyapa sura au wewe ndio huelewi? Sura inasema kundi moja la majini liliisikia Quran inasomwa yakasema hakika Quran hii ni ajabu tuaamini imetoka kwa mwenyezi Mungu. Haya hebu niambie tatizo nini hiyo sura? Kama ina tatizo na sura kwenye biblia ya Marko nayo itakuwa na matatizo kama Quran maana humo ndio tunaambiwa majini yalipomwona Yesu yalimkiri kuwa ni mwana wa Mungu. Yaani yaliposema hivyo ndio na binadamu nao wakamwita Yesu mwana wa Mungu baada ya kuyasikia majina yanamwita hivyo. Twende kimaandiko.
Hadi mlipotokea nyie makafiri mkaanza kuleta kashfa na kejeli kwa waislamu.
Umenena mkuuWapi hakuna anayeifuata? Makkah kuna lango la kwemda jehanam tu na si kingine. Ndiyo maana shetani kaweka makaazi pale kila mwaka mnaenda hija ili kumpiga na vijiwe vidogo kama karanga kama mazuzu vile.
Kwa mujibu wa vipimo vya uislam na tamaduni zake; lakini kupitia jicho huru, Jerusalem ndio eneo bora kuliko yote duniani maana hapo ndipo manabii wote kuanzia Ibrahim walipata kufanya ibada, ni mahala palipokuwa pakitunza vitabu vitakatifu vya manabii wote hadi amri kumi za Mungu zilizoandikwa kwa 'mkono wake'.Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Toa hilo andiko kuonyesha kiumbe wa kwanza kumuamini Yesu alikua ni jini,majini yanamuogopa Yesu na hata shetan anajua hilo,peleka majini kwenye kanisa lenye moto uone kama yatakaa...acha upotoshaji.Da'Vinci
Hivi ukisoma Mathayo 4 unaweza kutueleza uhusiano wa roho mtakatifu aliyeshirikiana na Ibilisi katika kumjaribu Yesu nyikani? Au unaleta matusi kwa kuuchukia uislam tu?
Kama Mtume Muhammad mnasema alitokewa na Ibilisi na kumwamuru aabudu majini sasa hebu fafanua kwenye hiyo Mathayo 4 kisha ujibu maswali yafuatayo:
Kwamba wakati Yesu anachukuliwa nyikani na roho mtakatifu ili akajaribiwe na Ibilisi je Yesu alikuwa na ufahamu kwamba anakwenda kujaribiwa? Na je roho mtakatifu wakati anamchukua Yesu kwa ibilisi utakatifu wake aliuweka wapi? Au na yeye alikuwa kama Ibilisi?
Maswali hayo yanatosha kukufanya uache kutukana uislam ila kwa kuwa unachuki na uislam utaendelea kutukana badala ya kujifunza. Vinginevyo unataka hii mada ifungww maana ukiendelea kutukana tutakupa vifungu kwenye biblia kukuonesha kwamba kiumbe wa kwanza kumwamini Yesu alikuwa ni jini.
Acha dharau....
Yesu hakua na baba....lkn alikelewa familia ya kiyahudi..na yeye alikua myahudibaba yake yesu alikuwa mkristo?
Uliulizwa je mshua wake mudy, Mzee ABDALAH alikuwa MUISLAMAlikuwa mkristo kama mama yake Yesu. Unasemaje?