Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Hili Dini ni laana tupu mleta mada umeleta uozo eti katikati ya dunia ni Macca ha ha ha ha ha ndio maana mishule yenu inaongoza kushika mkia
 
Hili Dini ni laana tupu mleta mada umeleta uozo eti katikati ya dunia ni Macca ha ha ha ha ha ndio maana mishule yenu inaongoza kushika mkia
Mishule yetu ipi? Si ni ile ile mnayosoma na ninyi? Au unazungumzia mishule yetu kushika mkia kisa hayaibi mitihani?
 
Imeandikwa mwana wa Mungu atazaliwaa atajaribu atateswa na kufa na siku ya tatu atafufuka ni unabii ulitolewa kwenye kitabu cha isaya, hapo alikuwa anatimiza unabii na yesu alikuwa kama mwanadamu wa kawaida hakuwa na nguvu kama Mungu.
Nakuatafuta sana mkuu, nmekuchek inbox, utanitonya!
 
Quran 2: 191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni.

Dini ya AMANI
 
Quran 2: 191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Dini ya AMANI
Umeyafahamu hayo maneno uliyoyaweka? hii aya Imekataza kupigana ila kwa kulipiza kisasi baada ya wao kuwapiga. Soma vizuri uelewe wacha kukariri
 
Quran 2: 191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

Dini ya AMANI
"Tena wale adui zangu wasiotaka niwatawale waleteni wachinjwe mbele yangu.......". Luka 19:27.
 
KWA SABABU SISI HATUFICHI UKWELI SOMA BIBILIA KUHUSU KUPAA KWA YESU UTASOMA WATU WALIKUWA WANAMWAGALIA AKIPAA MBINGUNI SIO PEPONI
Hao watu unaweza kuyajua majina yao japo watu wawili tu?
 
"Tena wale adui zangu wasiotaka niwatawale waleteni wachinjwe mbele yangu.......". Luka 19:27.
Quran 9:123. Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu
 
Tangaza na Utalii wa ndani ndugu. Itakua poa zaidi
 
Quran 9:123. Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu
Nimekupa andiko Luka 19:27 Yesu anaagiza wasiotaka awatawale waletwe wachinjwe mbele yake. Umekaa kimya kana kwamba hulioni hilo andiko.
 
Back
Top Bottom