Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

Mungu wenu wa kujilipua
Amejilipua lini na wapi? Acha kuropoka.
Hizo ni propaganda tu. Huwezi kukuta mwislam anaua watu. Hayo ni makundi ya kigaidi yaliyoundwa na mataifa ya magharibi kwanza kupata uhalali wa kuuza silaha kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi na kisha kuaminisha dunia serikali hizo hazihusiki. Ninyi wakristo mbona ni wataalam sana wa ku google habari za uongo za maisha ya mtume Muhammad mnashindiwa nini ku ggogle kujua magaidi wa kujilipua ni akina nani?
Mkuu hii habari ya kujilipua ni mpango mahususi wa kuangamiza uislam.
Ni kutumia maandiko vibaya. Mfano ni kama kutumia maandiko ya MATENDO YA MITUME VIBAYA. Mfano matendo ya mitume sura ya 10, sura ya 22 na sura ya 26. Mtu akitumia vibaya maandiko hayo ana form kundi la kigaidi.
Someni sana kwa undani maandiko mtaelewa. Hayo maandiko kwenye Quran wanayohalalisha kuua yametumika vibaya. Maandiko yanasema kama inavyosema biblia. Mfano Wamakabayo wa Pili sura ya 2 na sura ya 7 nk.
Jamani tusome maandiko.
 
Hapa mmeshasema alifia madina wewe unakuja sema alipaa mtume alikua mbakaji tu
Hakuna sehemu nimesema alipaa. Narudia tena uwe unasoma maandiko kwa uangalifu. Sisi hatuna udanganyifu kwenye Quran kama wa kwenye biblia. Mtyme alikufa kwa ugonjwa kama utakavyokufa wewe. Na ndio msingi wa Quran kuitwa kitabu kisicho na shaka. Maana yake unaambiwa mambo halisi ya maisha ya mwanadamu na wala si kuambiwa uongo uongo.
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Hizi primitive mythology; ujinga mtupu
 
Mnatukuza vitu vya ajabu sana..alekwambia wanaoenda hapo wote hawana dhambi nani?
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Mtume alienda mbinguni? Hebu fafanua
 
Msipende kutukana uislam bila kwanza kujifunza. Kimaabdiko waislam wako juu zaidi. Wanao uwezo mkubwa wa kusoma na kuelewa. Biblia tunaijua nje ndani na si kubabaisha kama mnavyookota maandiko kwenye mitandao. Mfanonaposema Muhammad alibaka wanawake huwa nashangaa maana hakuna andiko linalosema hivyo kwenye Quran ama hadith. Sasa mkibanwa wakristo mna quote sheria za Tanzania! Vichekesho sana jamani.....
Unaelewa maana ya kubaka? Kisheria ukioa/kutembea na mwanamke chini ya miaka 17 ni kubaka sasa Mudy yy alioa mtoto wa miaka 7 na akaanza kumzini akiwa na miaka 9 hili ni kosa kubwa sana alitakiwa afungwe na siyo kuabudiwa
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Katikati ya dunia? Chukua mpira wa miguu then onyesha kati ni wapi, na useme ni kwanini hapo ni kati na si kwingine..
 
Mbona ww unamfuata muhamedi mwarabu? Muwe mnajiongeza kidogo eti kitabu kilishuka toka mbinguni kweli hiyo?,
Na wewe tupe ukweli wa kupaa Yesu. Kama kuahuka hutaki kukubali basi na kupaa itakuwa hivyohivyo.....
 
Unaelewa maana ya kubaka? Kisheria ukioa/kutembea na mwanamke chini ya miaka 17 ni kubaka sasa Mudy yy alioa mtoto wa miaka 7 na akaanza kumzini akiwa na miaka 9 hili ni kosa kubwa sana alitakiwa afungwe na siyo kuabudiwa
Hivi kuna ubakaji mkubwa duniani kushinda wa kwenye biblia?
 
Unaelewa maana ya kubaka? Kisheria ukioa/kutembea na mwanamke chini ya miaka 17 ni kubaka sasa Mudy yy alioa mtoto wa miaka 7 na akaanza kumzini akiwa na miaka 9 hili ni kosa kubwa sana alitakiwa afungwe na siyo kuabudiwa
Hakuna mahala waislam wanamwabudu mtume Muhammad. Huo inaonesha nao ni umbumbumbu wa maandiko. Kwa hiyo wewe uislam huuelewi hata kidogo. Unapelekwapelekwa tu.
 
mkuu naona unakwepa kwepa tuu hapa huchomoi. Umeulizwa baba yake muddy Abdala alikuwa muislam?

Mbona unaogopa kujibu
Hilo swali hujaniuliza mimi. Acha kusema uwongo......
Au ngoja nilijibu. Na je mama yake ayesu alikuwa mkristo?
 
Na nyie mnavyoaema kua ukitaka kuona pepo aheeti ujue kiarabu
Lazima uvae kanzu. Lazima ufuge ndevu maskini majini yamewaharibu
Mamdogo huu uongo umeutolea wapi?

Au kwa nabii wako Tito mzee wa mademu

Maana nyie makafiri kwa habari za kuzusha tu hamjambo.

Tazama sasa aliyekwambia huwezi kuiona pepo mpaka ujue kiarabu ni nani?

Yaani we mamdogo tangia ushindane na mchungaji wako kula nyama haramu ya nguruwe basi akili zote zimeluka.

Badilika mamdogo.
 
Back
Top Bottom