Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

Mambo mengine ni upumbavu, huyo Mdude ana kitu gani cha maana cha kufanya huko nje ya nchi hadi wamzuie?
Upumbavu tu wa Viongozi, wapinzani wamepata publicity Nchi nzima kwa miaka yote hii kwa ujinga wao ccm. Sasa mtu kama Mdude unamzuia ili iweje? Si kudraw attention tu.
 
Ashukuru maana wengine huambiwa sio watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…