Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,210
- 1,353
Nafikili usi vunjike isipo kuwa watoe Mambo madogo madogo Kama haya yafutwe
Mimi nikiwa Zanzibar nijiskie nipo bara hivyo hivyo nikiwa bara
Lakini hili la muungano lakini ukienda Zanzibar una kaguliwa y?
Muungano hupaswi kumiliki alidhi Zanzibar y?
Muungano lakini huku Kuna raisi Zanzibar Kuna raisi kivipi?
Muungano lakini huku ukristo na uislam lakini Zanzibar ukristo unapingwa Sana y?
Hata hivyo kwenye viapo vya maraisi wetu huwa Wana tamka hivi
naapa kuulinda muungano kwa nguvu zote kwanini? na kwanini watumie nguvu nyingi? Je kunafaida gani?
Lakini mwisho wa siku upuuzi Kama huu bado upo hizonguvu nyingi Zina tumika kwenye Mambo gani hasa?
Tuna hitaji nguvu nyingi zitumike kwenye kuya rekekisha madhaifu Kama haya yanayo tubagua
Pasiwepo serikari ya Tanzania bara Wala visiwani pawepo na serikari ya jamhuri ya muungano wa Tanzania tu
Pawepo na bunge la muungano wa Tanzania tu
Pawepo na raisi wa Tanzania tu
HAPO NDIPO JINA TANZANIA LITA PENDEZA