Mdude Chadema ahaidi kuendelea na mapambano

Mdude Chadema ahaidi kuendelea na mapambano

Chadema ina aina ya watu wa hovyo sana,unashangaa aina ya watu wanaowahangaikia ili hali ni mambo ya kijinga wanayoyaendekeza,hivi mtu kama mdude ni wa kumsaidia kwa domo chafu alilonalo? Mambo mengine ni ya kujipunguzia maksi kabisa.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
Nimeona fb kamanda yuko imala kuliko jana
 
mdude ana matatizo ya akili awahishwe milembe
Kumbe wenye matatizo ya akili mnawajua...?
Ukinyoosha kidole kwa mwenzio vilivyobaki vinakuelekea....
Nukuu: Siku ukijiona na kujivuna u mwenye akili ndipo ujue hunazo kuliko watu wote..."
 
Nimesoma comment zote ,Mdude hafai,hana maana ,akiendelea nitamgonga na gari afe iwe trafiki kesi,baadae nalipa faini,shauri yake ,aendelee tu kutukana wakubwa
Hapa sheria ya mtandao inanyamaza hadi mtu akashtaki!!!
 
Tofautisha kutukana na kukosoa, ni nani asiyekosea? Inakuaje unapokosolewa useme umetukanwa? Ni akili za watawala wa kiafrika wasiopenda kukosolewa, kama ametukana si afikishwe kwenye vyombo vya sheria? Je kuteka ni sulihisho la watukanaji?
Ni sawa Kodi yake ipo yeye alisema hospital za serikali hazina uwezo wa kutibu hata mende SI angeenda kutibiwa ulaya au hospital za private .Alivyokuwa akitukana hospital za serikali Mimi Nilifikiri Ni mmoja wa wale matajiri wanaotibiwa hospital za Bei mbaya za binafsi kumbe Ni mtu mchovu tu kimaisha anayetukana mamba wakati mto Bado hajavuka mto uliojaa mamba
 
Namshauri abadilishe mbinu aongee ukweli mtupu anaouamini ila apunguze lugha za kufedhehesha, itamjenga sana kisiasa kwa kuwa bado ni kijana mwenye uelewa wa masuala mbalimbali

Tumefunzwa kushauriana
Mbona Jiwe ana lugha za hovyo hamumwambii hajirekebishe?

Acheni unafiki!
 
Ni sawa Kodi yake ipo yeye alisema hospital za serikali hazina uwezo wa kutibu hata mende SI angeenda kutibiwa ulaya au hospital za private .Alivyokuwa akitukana hospital za serikali Mimi Nilifikiri Ni mmoja wa wale matajiri wanaotibiwa hospital za Bei mbaya za binafsi kumbe Ni mtu mchovu tu kimaisha anayetukana mamba wakati mto Bado hajavuka mto uliojaa mamba
Kutokuwa na gari haikuondolei haki ya kueleza ubovu wa basi ulilopanda.
 
Mkuu rekebisha Kiswahili kwenye title ya thread.Nadhani ulimaanisha "aahidi" badala ya ahaidi
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
twit yake ya karibuni inasemaje, ndio tutaelewakama bange bado ipo kichwani mwake au imemtoka
 
Amesahau tulichofanyia aendelee anachokitaka atakipata,hii nchi siyo ya bibi ake.
 
Mapambano ya Nini anapigania Nini Cha kueleweka.Ambacho mtu hata ukiulizwa useme mdude anapigania hiki Cha kueleweka Kwa mfano aliandika kuwa serikali inanunua ndege wakati. Hospital za serikali ziko hoi hazina dawa Wala hazina uwezo wa kutibu hata mende!!!!!! Alipopata tatizo kakimbililia kutibiwa hizo hospital za serikali alizosema hazina uwezo wa kutibu hata mende!!!!! MDUDE anapigania Nini? Ujinga mtupu.
Hao ndio wanaharakati wa kizazi kipya. Matusi kwao ni hekima. Walizoea kumtusi JK, akawa anawaangalia tu, wamekutana na Ngosha cha moto wanakiona.
 
Hao ndio wanaharakati wa kizazi kipya. Matusi kwao ni hekima. Walizoea kumtusi JK, akawa anawaangalia tu, wamekutana na Ngosha cha moto wanakiona.
Huyo ni muoga maana hata tu kushindana kwa hoja kumemshinda na ndio maana hata mikutano ya siasa kazuia.
 
Back
Top Bottom