marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,181
Ahaidi ndio lugha gani?
Lazima wengine tukubali kuongozwa. Hatuwezi wote tukawa viongozi. Na kama wao hawawezi waache kama sisi na ieleweke hatuna viongozi wa utetezi kuliko kutuonyesha mianya yao.". Sio yule mmasai anashinda anaonyesha mwanya tu. "
Kwanini wewe usigombee bavicha?,au wewe keyboards warrior?
Mungu mbariki Mdude ChademaAmeandika hivi kupitia twitter:
Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
Amesahau tulichofanyia aendelee anachokitaka atakipata,hii nchi siyo ya bibi ake.