sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,691
Anawaiga kina mbowe na kina lisu eti.Kumbe Alisema hivyo? Huyo bora wangemchoma sindano ya sumu afe tu
Anawaiga kina mbowe na kina lisu eti.Kumbe Alisema hivyo? Huyo bora wangemchoma sindano ya sumu afe tu
Mchovu kimaisha ni wew na mamayako unaetetea upumbavu ili update buku7 utaendelea hivyohivyo mpaka mvi zikutoke.Ni sawa Kodi yake ipo yeye alisema hospital za serikali hazina uwezo wa kutibu hata mende SI angeenda kutibiwa ulaya au hospital za private .Alivyokuwa akitukana hospital za serikali Mimi Nilifikiri Ni mmoja wa wale matajiri wanaotibiwa hospital za Bei mbaya za binafsi kumbe Ni mtu mchovu tu kimaisha anayetukana mamba wakati mto Bado hajavuka mto uliojaa mamba
Ameandika hivi kupitia twitter:
Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.

Watoa hoja wazuri wasema ukweli wa uhakika wa kusaidia serikali hata CCM inawatafuta iwape vyeo na majukimu wawe CCM au upinzani.Mdude ajirekebishe Kama anataka siasa ndio uwe mkondo wake wa kutoka kimaisha.Lakini kwa utoaji hoja wake hovyo huu akionao sidhani Kama Ana future hata ndani ya chadema Yuko too lowNamshauri abadilishe mbinu aongee ukweli mtupu anaouamini ila apunguze lugha za kufedhehesha, itamjenga sana kisiasa kwa kuwa bado ni kijana mwenye uelewa wa masuala mbalimbali
Tumefunzwa kushauriana
Mapambano yake yasiambatane na matusi huo sio utamaduni wetu.Ameandika hivi kupitia twitter:
Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
Watoa hoja wazuri waema ukweli wa uhakika wa kusaidia serikali hata CCM inawatafuta iwape vyeo na majukimu wawe CCM au upinzani.Mdude ajirekebishe Kama anataka siasa ndio uwe mkondo wake wa kutoka kimaisha.Lakini kwa utoaji hoja wake hovyo wa Sasa sidhani Kama Ana future hata ndani ya chadema Yuko too low
Pumbavu! Kwa hiyo umehamia kutoka fb!!!Watoto was mitaani ndo tulizoea wako hivyo, kumbe na jf wameingia?
kumbuka kuna kodi yake katika hiyo hospitali aloenda kutibiwa,vipi unaikumbuka vzuri issue ya korosho?
Ukombozi hauji Bila sadakamdude ana matatizo ya akili awahishwe milembe
Uogope kifo utakufa,usiogope kifo utakufa, heri kufa kama sadaka kuliko kufa Kwa uzinziKenge mpaka aone damu zinatoka masikion ndio ataelewa kwamba sasa anakufa
Mwenye picha yake aiweke tafadhali nimuone
Ndugu yako akiuwa utakana ulichopostKumbe Alisema hivyo? Huyo bora wangemchoma sindano ya sumu afe tu
Sikufichi, kama huna kazi ya kufanya ni bora utulie, ukiendelea kutukana utapoteaAmeandika hivi kupitia twitter:
Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
Watoa hoja wazuri waema ukweli wa uhakika wa kusaidia serikali hata CCM inawatafuta iwape vyeo na majukimu wawe CCM au upinzani.Mdude ajirekebishe Kama anataka siasa ndio uwe mkondo wake wa kutoka kimaisha.Lakini kwa utoaji hoja wake hovyo wa Sasa sidhani Kama Ana future hata ndani ya chadema Yuko too low
Zunguka hata hapo dar barabara zimejaa mashimo nyingine zimegeuka kuwa kama mabwawa ya kufugia samaki, unafikiri watu wataacha kutumia barabara kisa zimegeuka kuwa mahandaki? watatumia hivyo hivyo kwa sababu hawana jinsiMapambano ya Nini anapigania Nini Cha kueleweka.Ambacho mtu hata ukiulizwa useme mdude anapigania hiki Cha kueleweka Kwa mfano aliandika kuwa serikali inanunua ndege wakati. Hospital za serikali ziko hoi hazina dawa Wala hazina uwezo wa kutibu hata mende!!!!!! Alipopata tatizo kakimbililia kutibiwa hizo hospital za serikali alizosema hazina uwezo wa kutibu hata mende!!!!! MDUDE anapigania Nini? Ujinga mtupu.
Tulia Kodi inayokusanywa eneo Hilo shilling ngapi? Zinatosha kujenga hiyo barabara hizo Kodi zao au wanataka pesa za walipa Kodi waliouza korosho ,chai ,kahawa ,na mikoa yenye madini,utalii nk kodi zao ndio zitoke kule zije ziwajengee barabara kwao wenye kulipa Kodi kiduchu wanazolipa? Weka takwimu hao wakazi wa maeneo yenye madimbwi wanalipa Kodi shilingi ngapi Hadi wadai barabara za lami ? Lete takwimu ya makusanyo ya Kodi kwenye Hilo eneo Kama Lina justify wao kujengewa lami.Usipige yowe tu ooh tunataka serikali ilete huduma nzuri kwetu Kodi mnalipa shilingi ngapi? Haki inaendana na wajibu eneo Kodi kiduchu madai kibao tunataka barabara za lami, flyover nk mmmmm.Zunguka hata hapo dar barabara zimejaa mashimo nyingine zimegeuka kuwa kama mabwawa ya kufugia samaki, unafikiri watu wataacha kutumia barabara kisa zimegeuka kuwa mahandaki? watatumia hivyo hivyo kwa sababu hawana jinsi
Jina mdude Lina Pepo mdude.Watoa Pepo na wapunga pepo kazi kwenu kulitimuaMajina mengine yanasawili tabia