Mdude ameuawa?

Mdude ameuawa?

Usijitoe ufahamu, stupid ass bitch. Anazungumzia viongozi wale heavy weights ndani ya chama, ni mmoja tu ndugu Nape aliyewahi kutishiwa na pistol hadharani na yule 'asiyejulikana' akaudhihirishia umma kuwa yeye ni mmoja wa untouchables kwani ile clip ilimuonyesha vizuri lakini polisi hawana jeuri hata ya kumuhoji japo kwa kutuzuga siye Wananzengo. Shame.

Povu la nini sasa!
 
Daaa sijui kwa nini huyo jamaa nlikuwa simfahamu kabisa hadi nlivoona mnyika anaongelea suala la huyu mtu. N way tuombe Mungu asimame naye!
 
Nitoke povu kwa upunguani usio na kichwa wala miguu? There is nothing personal here, tunafafanua tu mambo na kuweka records straight.
Povu la nini sasa!
 
Hilo la kwenda kumuua ni possibility kubwa considering mateso makubwa walompa walipo mkamata mwanzo na warnings zingine
 
Ukisoma historia ya ukoloni thus akuwaendeleza kielimu aliona ni hasara Kazi za matumizi ya akili huwa hawwawezi zaidi za nguvu nguvu thus walitumika kama makuli,manamba mashambani,hata nyerere alitaadharisha kuhusu haya makabila

Una tatizo ubongoni, ukabila umekukaa. Endelea kutumia hizo akili zako
 
Nitoke povu kwa upunguani usio na kichwa wala miguu? There is nothing personal here, tunafafanua tu mambo na kuweka records straight.


Sasa mbona povu
 
Inasikitisha sana Mkuu..
Sijui hata nani wa kujibu kuhusiana na mtanziko huu mkubwa wa alipo MDUDE CHADEMA..

Picha chafu za Gwajima zimevuja jana tu Leo Polisi tayari muafaka umeshapatikana..

Lakini huyu ndugu ametekwa toka jmosi mpaka sasa wahusika wapo kimya.
Mlitaka wasemeje kwa mfano.? Huyo dogo alishaonywa mienendo na matusi yake. Watu wamefanya kazi yao mnaanza kuleta usumbufu. Watu wanaangalia mambo mengine.
 
Nimebahatika kupitia mojawapo ya post za mdude kuna post moja anadai kwamba Mkuu ni sawa na malaya alopata gono kwenye umalaya wake alafu anamficha daktari.
Je kwa kauli kama hii unaweza kuwa salama kweli, jamani mambo mengine tunayatafuta wenyewe.
Fikiria familia kwanza kabla ya chochote kwenye maisha yako.
 
Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Damu isiposamehe hulipa kisasi
 
Back
Top Bottom