Mdude ameuawa?

Mdude ameuawa?

Kama jeshi limefika uko Hali sio nzuri nakumbuka tangu tuko wadogo ukiambiwa wewe polisi unalia lakini ukiambiwa wewe mwanajeshi unafurahi kweli adi Leo mwanajeshi ni kipenzi Cha watoto na raia mwanajeshi akipita na. Vazi lake mtaani atapokea salamu za Kila rangi na msururu wa watoto watamfuata. Mungu tusaidie Tanania.
 
Hata kama yuko hai hali yake itakua mbaya sana. Inawezekana amepata kilema cha maisha.
kama yupo hai basi huko aliko atakuwa tayari wameshamchoma sindano ya kumu-traumatise.

hata kama watamtelekeleza ktk pori ali arudi uraiani, sidhani kama akili yake itakuwa na kumbukumbu juu ya kile kilichomtokea au kukumbuka sura za watesi wake.
 
Nimebahatika kupitia mojawapo ya post za mdude kuna post moja anadai kwamba Mkuu ni sawa na malaya alopata gono kwenye umalaya wake alafu anamficha daktari.
Je kwa kauli kama hii unaweza kuwa salama kweli, jamani mambo mengine tunayatafuta wenyewe.
Fikiria familia kwanza kabla ya chochote kwenye maisha yako.
kwa hiyo ni sahihi kuuwawa?
 
Msimsahau na yule kijana aliyemfazia fujo kulu kule mbarali maana aliwekwa ndani kwa amri ya rais nae ameachiwa au bado anashikiliwa?
 
kwa hiyo ni sahihi kuuwawa?
Una uhakika kauwawa? Na kama unataka kujua kama ni sahihi au sio sahii kuuwawa kaa na familia yako sebulen, then ingia kwenye mtandao wa kijamii unao tumia jina lako halisi then uandike upuuzi alokuwa anaandika huyo jamaa yenu.
Hata kama tunakunywa pombe au kuvuta bange au madawa ya kulevya tuhakikishe akili zetu zinawaza familia zetu kuliko chochote na ndo maana huwezi kumuona MBOWE au watoto wake wakiposti ujinga au wakiandamana hata siku moja.
 
Una uhakika kauwawa? Na kama unataka kujua kama ni sahihi au sio sahii kuuwawa kaa na familia yako sebulen, then ingia kwenye mtandao wa kijamii unao tumia jina lako halisi then uandike upuuzi alokuwa anaandika huyo jamaa yenu.
Hata kama tunakunywa pombe au kuvuta bange au madawa ya kulevya tuhakikishe akili zetu zinawaza familia zetu kuliko chochote na ndo maana huwezi kumuona MBOWE au watoto wake wakiposti ujinga au wakiandamana hata siku moja.
 
Nimebahatika kupitia mojawapo ya post za mdude kuna post moja anadai kwamba Mkuu ni sawa na malaya alopata gono kwenye umalaya wake alafu anamficha daktari.
Je kwa kauli kama hii unaweza kuwa salama kweli, jamani mambo mengine tunayatafuta wenyewe.
Fikiria familia kwanza kabla ya chochote kwenye maisha yako.
Anajifanya anauchungu na cdm kuliko Mtei muanzilishi wa chadema. Au Mbowe mrithi halali wa chama cha mkwe.
Acha yampate yanayompata
 
Inasikitisha sana Mkuu..
Sijui hata nani wa kujibu kuhusiana na mtanziko huu mkubwa wa alipo MDUDE CHADEMA..

Picha chafu za Gwajima zimevuja jana tu Leo Polisi tayari muafaka umeshapatikana..

Lakini huyu ndugu ametekwa toka jmosi mpaka sasa wahusika wapo kimya.
Kuna mbwa afugwae, na Mbwa koko wa majalalani
 
So sad. Ni kijana mdogo sana, alihitaji kushikwa mkono kukua kisiasa. Kuna wakati alitumia maneno makali mno ambayo hata mwenyekiti wake mbowe hawezi katu kutamka wala kuandika.... alimfananisha JPM na malaya.... waliompenda mdude walimuonya.... mie binafsi nilimuonya kule instagram. Nilijua kua hatokaa salama, alikua anajitoa ufahamu bila kujua anajitoa sadaka.

Chadema leeni watoto vizuri. Zitto, mnyika nk walikulia vzr chamani sasa mnakwama wapi??
 
CHADEMA imejaa wanafiki tupu, hivi mlishindwa kumkanya mapema kwamba akosoe bila kutukana? Mlikua mnafurahia matusi yake saivi mnavimbisha midomo ee, mimi nasema hivi wamsurubishe tu maana hana adabu na hana watu wanao mtegemea mpuuzi mkubwa
Watanzania Hatutendi ubaya ili turekebishe ubaya. Muombee mema binadamu mwenzio pamoja na dhambi zake alizonazo. Tu mavumbi na hakika mavumbini tutarudi.
 
Hayo aliyataka mwenyewe kwa kupenda kusifiwa huko mitandaoni, naamimi kama akirudi atakua kijana mzuri na balozi wa maadili safi ya kitanzania. Vinginevyo sina huruma ya kinafiki na vijana wajinga aina ya huyo afisa wa chama kijana mdude
Watanzania Hatutendi ubaya ili turekebishe ubaya. Muombee mema binadamu mwenzio pamoja na dhambi zake alizonazo. Tu mavumbi na hakika mavumbini tutarudi.
 
Mumgu msaidie, lakni kwa hali tuliyonayo hapa kwetu, sijui kama yuko hai. kama international community haitaingilia, basi tutauawa wengi! Lisu nakupa mzigo huo uubebe. Huku nyumbani usije zunguka dunia ukiihimiza iingilie kati katika gross violation of human rights in Tanzania! Likifanikiwa hilo, basi nakuapia you are the next president!
Mdude kapotea hapa Tanzania unampa kazi mgonjwa aliye Ulaya. Kaazi kwelikweli.
 
Watatekwa vipi wakati wao ndiyo watekaji, unataka wajiteke wenyewe?
Yaani Bash boy atekwe au Musiba au mmoja wa kundi la 'wasiojulikana' yaani kale ka'Mafia squad ndani ya kitengo.
Mtu hajiteki mwenyewe japo yule dogo Nondo alishazushiwa kajiteka baadaye wakaona aibu na wakamtema.
kama ni kweli angalau basi wazuge kumteka slowslow kubalance stori,
 
Hayo aliyataka mwenyewe kwa kupenda kusifiwa huko mitandaoni, naamimi kama akirudi atakua kijana mzuri na balozi wa maadili safi ya kitanzania. Vinginevyo sina huruma ya kinafiki na vijana wajinga aina ya huyo afisa wa chama kijana mdude
Ni vizuri una matumaini juu yake kuwa atarudi. Hilo ni jambo zuri' endelea kumwombea maisha yake arudi hata kama asipobadilika mahakama Zipo atashtakiwa ahukumiwe kwa sheria zetu maana ushahidi upo.
 
Inasikitisha sana Mkuu..
Sijui hata nani wa kujibu kuhusiana na mtanziko huu mkubwa wa alipo MDUDE CHADEMA..

Picha chafu za Gwajima zimevuja jana tu Leo Polisi tayari muafaka umeshapatikana..

Lakini huyu ndugu ametekwa toka jmosi mpaka sasa wahusika wapo kimya.
Inawezekana amepotea kwenye macho yetu ila yao anaonekana ndo maana wako kimya
 
Hapa Jukwaani kuna story flani hivi ya Peter Zakaria.
Kada wa CCM Tarime.
Aliwanyuka shaba maafsa usalama aliodai kuwa walijaribu kumteka.
Sijui jamaa bado yuko nyuma ya nondo au la
asante, hapo sasa nimeridhika. sio chadema hii sio fair, wasiojulikana sio waungwana aisee
 
Back
Top Bottom