Mdude ameuawa?

Mdude ameuawa?

Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Hivi huyu ni mtu gani asiyekuwa na sura watu wakaona angalao sura yake?
Hata CHADEMA hawana kabisa picha yoyote inayomwonyesha, au kuna siri gani hasa inayozuia asionekane. Hata gazeti moja hakuna lililo na picha yake? Ndugu zake waliopotelewa na mtoto wao hawataki sura yake ionekane, labda kuna mtu ambaye anaweza kujua alipo?

Hili pekee ndilo linalonishangaza tokea nilipoanza kusikia habari za kutekwa kwake.
 
Kila aliyehusika atalipwa kwa uovu wake .
 
Huu ni usemi tu wakati mwingine karma haitokei. Bora kumuita Jiwe kwa ID fake. Kuliko waziwazi kama mdude unless hutojali kupotezwa.
Biblia inasema, nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha NNE. Je Biblia nayo inadanganya?
Malipo yapo, tena sana tu.
 
Hivi huyu ni mtu gani asiyekuwa na sura watu wakaona angalao sura yake?
Hata CHADEMA hawana kabisa picha yoyote inayomwonyesha, au kuna siri gani hasa inayozuia asionekane. Hata gazeti moja hakuna lililo na picha yake? Ndugu zake waliopotelewa na mtoto wao hawataki sura yake ionekane, labda kuna mtu ambaye anaweza kujua alipo?

Hili pekee ndilo linalonishangaza tokea nilipoanza kusikia habari za kutekwa kwake.
Instagram media - BxNIQ2BHnBO.jpg
 
Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Hakika watu hawana huruma. Tunalazimishwa sana kuiingiza nchi kwenye machafuko
 
Bhokasa aliwapa mamba miili ya wapinzani wake. Alikufa kifo cha mateso sana

Iddi Amin aliua wote waliokua tishio kwake. Aliishia kufa ukimbizini alizikwa na familia yake tu. Kabla ya mauti kumkuta damu zilimtoka katika kila uwazi wa mwili.
Malipo ni hapa hapa duniani!
 
CHADEMA imejaa wanafiki tupu, hivi mlishindwa kumkanya mapema kwamba akosoe bila kutukana? Mlikua mnafurahia matusi yake saivi mnavimbisha midomo ee, mimi nasema hivi wamsurubishe tu maana hana adabu na hana watu wanao mtegemea mpuuzi mkubwa
Wewe ni ngederes kweli kabisa
 
Kama wamemuua watakuwa ni watu wa ajabu sana kutokea Tanzania; haya yote ni matunda ya CCM kutuletea watu wa zama za kale.
Ni hatari kama kuua litakuwa jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom