Kuna street moja kule Moshi inaitwa PASUA yani kwa pozi hili saa nyingi sana machalii ungekuta wamekula vyaoWatoto wa mjini lazima walijisevia hapo!
Ndo matokeo ya laga za bure.....
mbona hii hapo juu picha kama anacheka? wanatafuta umaarufu tu kwa kujidhalilisha!! Hizi picha za maigizo maana angekua amelewa kweli hata kiatu angekua ameshatoa!View attachment 30285 mbona hii hapo juu picha kama anacheka? wanatafuta umaarufu tu kwa kujidhalilisha!! Hizi picha za maigizo maana angekua amelewa kweli hata kiatu angekua ameshatoa!
View attachment 30287