Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
654
Reaction score
1,598
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.

Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.

Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
 
Mdogo wangu jana aliukuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.

Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.

Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Duh hi nchi imefika pabaya kiasi hiki hatuaminiane tena, ndani kwa ndani.
 
Yani kutembea na kitambulisho ni kufika pabaya.... Nakuongezea pia jitahidi pamoja na kitambulisho tembea na bima ya afya pia UTANISHUKURU BAADAE.

Tupo tulipo kwa sababu tuliishi kwa mazoea zaidi mambo yamebadilika
 
Haki imeanza kusimamiwa vizuri, mlisema hamtaki amani mnataka haki.
Umetisha sanaaa ikisimamiwa vilivyo milio itasikika tu bado kidogo... Wajibu pia uanze kutekelezwa
 
Wanaogopa Kwa kuwa wajua wanaoenda Dar wanaoenda KUKINUKISHA tarehe 9/12/2025
 
Yani kutembea na kitambulisho ni kufika pabaya.... Nakuongezea pia jitahidi pamoja na kitambulisho tembea na bima ya afya pia UTANISHUKURU BAADAE.

Tupo tulipo kwa sababu tuliishi kwa mazoea zaidi mambo yamebadilika
Vima nyie icc inawasubiria
 
Sasa chief kosa liko wapi hapo kutembea na Id mbona ni mambo ya kawaida sanaaa
Kwa ibara ipi ya katiba ama sheria ya mwaka gani? Endeleeni kuvunja fundamental rights thinking you're the first on earth to be sitting in the government, dunia ishaona wengi tu na mwisho wao ulikuwa wa aibu
 
Your Id please. Bro huna cha kura huna Nida aya umesahau huna ata soft copy ktk simu aya huna vyote basi hata barua ya serikali ya mtaa how can i trust you, umepata ajali umekufa tunaanzia wapi
 
Mtu yuko 17
 
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.

Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.

Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Ni mazoea tu, utambulisho ni muhimu sana kwa kila mwananchi.
 
Back
Top Bottom