Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

Nchi ambayo haitoi cheti cha kuzaliwa lakini inataka kila mwananchi awe na kitambulisho.

Huku kwetu wajawazito wanaenda na madaftari kwa ajili ya kuandika taarifa zao za maudhurio ya clinic hadi taarifa za kujifungua wanaandika kwenye hilo daftari, serikali haina madaftari ya kuandika hizo taarifa, wanajifungua hawapewi vyeti vya kuzaliwa watoto wao na hakuna computer.

Tunaandikisha watoto shule za msingi na sekondari bila document yoyote.

hata nida tunaambiwa tupeleke affidavit ya mama au baba, baba na mama hawana cheti cha kuzaliwa. Walikuwa wanaandikiwa affidavit kwa mwenyekiti wa mtaa wao wanaweka dole gumba.

Sasa leo mtoto ana pataje ID?

Labda maofisa wa Nida wafungue ofisi kwenye ofisi za kukatia ticketi za vyombo vya usafiri, ili kama huna wanakupa.
 
Wangepewa vifaa vya kusome biometrics ili watu wapite kwa kuangaliwa hapo. Pia itawasaidia kujua nani kapita hapo na kaenda wap.
Nida yenyewe haitoi vitambulisho
 
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.

Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.

Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Acha kuchangamke, Tz ilikuwa imelala sana
 
Vijana wakagame washajikita nchin wanasubir vilimbi tu
 
Yani kutembea na kitambulisho ni kufika pabaya.... Nakuongezea pia jitahidi pamoja na kitambulisho tembea na bima ya afya pia UTANISHUKURU BAADAE.

Tupo tulipo kwa sababu tuliishi kwa mazoea zaidi mambo yamebadilika
Mkuu kwa hali yetu kuna mambo mengi ya kuzingatia, mfano kitambukisho cha nida unapojisajiri haupewi siku hiyo hiyo. Vipi kama upo katika kipindi cha kusubiri kitambulisho kitoke ndio maana yake hauwezi kusafiri? sasa huo ni uzembe wa mwananchi au mamlaka husika?.

Na hata ikitokea mtu mwenye kitambulisho amesafiri bila kitambulisho suluhisho sio kumshusha hao wakaguzi uko njiani wanaweza kuwa na electronics device ambao mtu akiweka kidole taarifa zake zote zinaonekana. Kushughulikia mambo ya kiteknolojia kwa njia za manually hapa tutasababisha uonevu na usumbufu kwa wananchi.
 
Ukidai haki ujiandae kutimiza wajibu.
Nyie vilaza machawa hakuna sheria inayomtaka raia akiwa ndani ya nchi kutembea na kitambulisho, mmeifanya hii nchi kuwa banana republic kabisa kwa watu wachache kujiamulia tu kufanya mambo kiholela bila kuzingatia sheria.
 
Umetisha sanaaa ikisimamiwa vilivyo milio itasikika tu bado kidogo... Wajibu pia uanze kutekelezwa
Sio haki wala sheria Polisi kudai watu vitambulisho kila mahali. Polisi wanatakiwa wakudai kitambulisho kama wanakuhisi wewe ni mhalifu au wanafanya msako wa mhalifu waliye na taarifa zake. Ni upuuzi kuchelewesha bus au daladala eti kwa sababu vitambulisho vinakaguliwa kwa abiria wote.
 
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.

Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.

Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Ukiwa na cheti cha ubatizo, form 4, cheti cha kuzaliwa?

Wanakubali?

Mambo ya kijima haya ilitakiwa ukiwa na atleast namba ya NIDA uwatajie uweke alama za vidole mfumo ukusome?

Hapo ilitakiwa KUWEKWA option mbali mbali ili kupunguza USUMBUFU wa kijinga...

Wakisema urudi ulipo toka hapo kibahasha unapewa nauli?! NDIO YALE YALE UTAPEWA KESI YA KUMZUIA ASKARI KUFANYA KAZII....MAANA HILO KOSA LIPOGO MFUKO WA SHATI KWA HAO POLICE FORM 4 FAILURE.
 
Nyie vilaza machawa hakuna sheria inayomtaka raia akiwa ndani ya nchi kutembea na kitambulisho, mmeifanya hii nchi kuwa banana republic kabisa kwa watu wachache kujiamulia tu kufanya mambo kiholela bila kuzingatia sheria.
Wanajiridhisha kuhakikisha ulinzi na usalama wa nchi kuelekea 0912, hilo lina ubaya gani?
 
Back
Top Bottom