Mdogo wangu kanisaliti

Pole sana kaka,muache hakuna dini inakubali uzinzi,atakusumbua huyoo.
 
ole sana yani ungekuwa na hasira kali ushamlipua
 

ni maamuzi magumu swali la msingi je yeye katika kusafiri kwake hachepuki huko? isije kuwa mkuki kwa nguruwe!!
 
Ushauri mzuri sana dada.

Ila siku zote huwa nahofia kufanya maamuzi mepesi. Akiingia kwenye uislamu kwa sababu tu ya kupata ruksa ya kutoa talaka ( kitu ambacho sidhani kama ninawezekana anyways. kwamba alifunga ndoa ya kikristo na akibadili dini yeye ampe talaka mkewe kwa sheria ya kiislamu? haijaingia akilini). lakini baada ya kutaliki na pengine kuoa wanawake 4 ili kukidhi tamaa zake za mwili, akigeukia kwenye matakwa mengine ya kiislamu ataweza? hukawii kukuta hata kuacha kula kitumoto ikamshinda atii.

hata binti akiomba ushauri kuolewa na mtu wa imani tofauti, ni busara kusisitiza kuingia kwenye imani kwa sababu anaamini waaminivyo. ndo hayo unakuta mtu kabadili dini, siku mume akimuudhi tu anaenda kumalizia hasira kwenye kitimoto. haipendezi
 

siyo kwer, tena tulikuwa tunaishi kwa amani na upendo kwer hata mimi sikuamini na siamin.
 

kILL HIM AND HER. THIS IS THE ONLY BEST ADVICE THATS AVAILABLE FOR YOU!
 
Pole sn,na una
moyo wa chuma nadhan maana dah.....ni ngumu kumeza aisee.
 

pole sana mungu atakupa nguvu na utayashinda yote!
 
Temana na huyo mwanamke; sio tu kuwa hakupendi bali pia hakuheshimu wala "she does not give a f.uck about you". huo ndio ukweli mchungu na hakuna jinsi kaka mkubwa inabidi uumeze hivyo hivyo. Nitatoa sababu kwa nini nasema hivyo.
1. Angekuwa anakupenda angejituliza, asingehangaika na michepuko, let alone mdogo wako.
2. Hakuheshimu pia kwa sababu angekuwa hakupendi lakini anakuheshimu angetafuta mwanaume mwingine lakini si mdogo wako, kitendo cha yeye kulala na mdogo wako maana yake ni kuwa hakuheshimu.
3. She does not give a fu.ck about you ndio maana sio tu kalala na mdogo wako, bali amefanya hivyo kwenye nyumba yenu(probably kitanda chenu); hapa amekuvua nguo kweupe pee....
4. Pamoja na yote hayo kupigilia msumari kwenye jeneza amezini na mdogo wako bila condom mpaka ametiwa.mimba... wakati akiwa na wewe mnatumia condom; huyo si mwanamke wa kuishi nae atakuua kwa UKIMWI.
Kaka, huyo si tu kwamba si mke, bali pia si mwanamke wala si binadamu; ni nyoka aliyevaa ngozi ya binadamu.
Pia nakushauri ukacheki afya yako ukapime ngoma maana kama amelala na mdogo wako, there is a good possibility ameshakitembeza sana huko mitaani.
Kuhusu huyo mdogo wako nae ni basi tu kuwa hamuwezi kuvunja undugu ila huyo nae ni shetani.... ibaki tu kuwa ni ndugu yako kibaiolojia.
 
mkasa huu uone katika tv/au usikie katika redio .. usikukute lolz
 
kuna mdau kazungumzia umuhimu wa kusikia side b ya jambo hili..

lakini bado naona haitamsafisha huyu mama.. hata kama mumewe alikuwa na mapungufu, alikosa wanaume wengine? .. usaliti na shemeji tena katika kitanda chake na mumewe... WTF (Whats up Twiter Facebook).
 

Hakuna dini yeyote duniani au kitabu cha dini yeyote duniani kinachotangaza, oeni "mmoja tu" isipokuwa Qur'an. Jee unalijuwa hilo?

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Hakuna dini yeyote duniani au kitabu cha dini yeyote duniani kinachotangaza, oeni "mmoja tu" isipokuwa Qur'an. Jee unalijuwa hilo?

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
King'asti na Faiza sidhani kama mnakoelekea mtamaliza. BTW Hivi kubadili dini ndo suluhisho eenh! Hizi dini zisitufanye tushindwe kutumia common sense Kha!
Kila kitu dini dini waliotuletea wenyewe wanaendelea ila sisi zinatuwehusha.
 
King'asti na Faiza sidhani kama mnakoelekea mtamaliza. BTW Hivi kubadili dini ndo suluhisho eenh! Hizi dini zisitufanye tushindwe kutumia common sense Kha!
Kila kitu dini dini waliotuletea wenyewe wanaendelea ila sisi zinatuwehusha.

Of course, huyo mkewe kishaliwa na mdogo wake "live", sasa niambie suluhisho alilonalo Kikristo.
 
Ebu acha ubwege wewe...mtu umeona kwa macho sasa unasubiri nin?timua huyo mwanamke.
 
Unasubiri roho mtakatifu akushukie akwambie uachane nae?

Kama ndoa ni hivi, wanangu waanze ubachela mapema
 
Ni mwanao huyo damu yako kabisa kama wewe na mdogo wako ni wa mama mmoja hata kama baba ni tofauti so chukulia poa angekua wajilani ndo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…