Mdogo wangu kanisaliti

Mdogo wangu kanisaliti

King'asti na Faiza sidhani kama mnakoelekea mtamaliza. BTW Hivi kubadili dini ndo suluhisho eenh! Hizi dini zisitufanye tushindwe kutumia common sense Kha!
Kila kitu dini dini waliotuletea wenyewe wanaendelea ila sisi zinatuwehusha.

Common sense yako haina common yoyote. Ungekuwa na common sense usingehororoja utumbo humu.

Tazama posts zilizoletwa humu, kuna common sense uliyoiona?

The only solution in this situation is Islam, Ukristo hauna njia a kutatua tatizo hili, kama unalo liweke. Your common sense is not so common because the common failed to be common.

Mimi huko juu nimeweka vipi Uislam unatatua tatizo hilo in a second. Without even thinking.
 
kuna mdau kazungumzia umuhimu wa kusikia side b ya jambo hili..

lakini bado naona haitamsafisha huyu mama.. hata kama mumewe alikuwa na mapungufu, alikosa wanaume wengine? .. usaliti na shemeji tena katika kitanda chake na mumewe... WTF (Whats up Twiter Facebook).

=Whatsapp.
 
Common sense yako haina common yoyote. Ungekuwa na common sense usingehororoja utumbo humu.

Tazama posts zilizoletwa humu, kuna common sense uliyoiona?

The only solution in this situation is Islam, Ukristo hauna njia a kutatua tatizo hili, kama unalo liweke. Your common sense is not so common because the common failed to be common.

Mimi huko juu nimeweka vipi Uislam unatatua tatizo hilo in a second. Without even thinking.
Okay madaam the only solution is Islam! Happy?
 
Kwanza pole sana...
Yameshatokea, huwezi kubadilisha kitu. Kumbuka huyo ni mama watoto/ mtoto wako, hataufanyaje huwezi kumfuta kabisa kwenye maisha yako.
Sasa hivi unaumia, hupaswi kufanya maamuzi mazito. Na sio lazima kuamua sasa kubaki kwenye ndoa au kutoka. Subiri kwanza hasira zipungue. Kama vipi hama hata hapo nyumbani kwa muda. Hasira na machungu yapungue kidogo.
Ukiona uko tayari, ongea nae. Ni muhimu kujua kwanini alifanya alichofanya. Majibu yakakuwa machungu lazima, lakini ndo dawa. Itasaidia kufanya maamuzi yako.
Kumbuka uamuzi wa kubaki nae au kuondoka unatoka moyo kwako. Usijilazimishe na usikubali kulazimishwa kubaki kama hutaki. Au kuondoka kama hutaki.
Mwisho wa siku wewe ndo unaishi na maamuzi utayofanya. Sio ndugu, wazazi au marafiki.

Its not the end of the world, it will get better.
Goodluck.
 
Angenisaliti kwa mtu mwingine ningemsamehe, sio mdogo wangu au ndugu yangu awaye yote yule. hata kama hiyo noa ingekua imefungiwa mbinguni, ningemuacha tuu...namuacha na mambo yake naenda kuanza familia upyaaa, wangapi wamefanya hivyo, kama ni wanangu nabeba kabisaa, atanisikilizia kwenye bomba tuu huyo.
 
Nakushauri mwache. Ndoa ni kitu gani kama haiheshimiwi? mke aweza kuachwa kwa uzinzi na mume pia na evidence hii ni talaka hakuna kipingamizi hata kwa kanisa katoliki. Hili ni doa kubwa na hamtaweza kuishi maisha ya upendo, raha na heshima tena. Binafsi siwezi n siwezi.
 
kaka kuna msemo uwa wanasema usimake decision ukiwa na hasira au usipromice kitu ukiwa na furaha,muda ndo majibu ya matatizo yote,tulia na hasira zikiisha ndo utakua na kufikiri vizuri,hayo mambo ya dini sijui nin hamna chochote na kamwe usiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa,unaambiwa hamia uislamu utapata suluhisho,je ukifika huko ndo ukakuta matatizo zaid?
Fanya uamuz ambao utakua tayari kuishi nao for the rest of your life,muombe Mungu na atakupa suluhisho mana ni yeye ndio aliekufanya usisafiri siku ile ili ujue nini chaendelea,muamin Mungu na utafanikiwa
 
Onyesha msimamo wako,mwanamke muache,kaa na watoto wako uwalee,mdogo wako usimpotezee,huyo ni ndugu yako lkn huyo mwanamke sio ndugu yako.
 
Temana na huyo mwanamke; sio tu kuwa hakupendi bali pia hakuheshimu wala "she does not give a f.uck about you". huo ndio ukweli mchungu na hakuna jinsi kaka mkubwa inabidi uumeze hivyo hivyo. Nitatoa sababu kwa nini nasema hivyo.
1. Angekuwa anakupenda angejituliza, asingehangaika na michepuko, let alone mdogo wako.
2. Hakuheshimu pia kwa sababu angekuwa hakupendi lakini anakuheshimu angetafuta mwanaume mwingine lakini si mdogo wako, kitendo cha yeye kulala na mdogo wako maana yake ni kuwa hakuheshimu.
3. She does not give a fu.ck about you ndio maana sio tu kalala na mdogo wako, bali amefanya hivyo kwenye nyumba yenu(probably kitanda chenu); hapa amekuvua nguo kweupe pee....
4. Pamoja na yote hayo kupigilia msumari kwenye jeneza amezini na mdogo wako bila condom mpaka ametiwa.mimba... wakati akiwa na wewe mnatumia condom; huyo si mwanamke wa kuishi nae atakuua kwa UKIMWI.
Kaka, huyo si tu kwamba si mke, bali pia si mwanamke wala si binadamu; ni nyoka aliyevaa ngozi ya binadamu.
Pia nakushauri ukacheki afya yako ukapime ngoma maana kama amelala na mdogo wako, there is a good possibility ameshakitembeza sana huko mitaani.
Kuhusu huyo mdogo wako nae ni basi tu kuwa hamuwezi kuvunja undugu ila huyo nae ni shetani.... ibaki tu kuwa ni ndugu yako kibaiolojia.

asante mkuu!
 
Hivi ndoa ikiwa yj kikristo ndo huwezi achana?huyo mwanamke amezini na kwenye bible imeandkwa mume asimuache mke isipokuwa kwa uzinzi.
Ndugu angalia moyo wako je unaweza kumsamehe na mkaendelea na mapenz na mkaishi kwa amani kama mwanzo?Kama jibu ni hapana mwache anza maisha upya,lea wanao na Mungu akijalia waweza kupata mwingne mkapendana mkaendeleza familia
 
Happy indeed, no choice, not only in this situation but in any situation.

dini sio suruhisho la matatizo. Dini za sasa hivi ni vichaka flani vya maovu ndio maana wanabeba mabom na kuua watu huku wakimtaja mungu. Vita nchi za kiislamu haviishi nenda nigeria,somalia,syria,iraq,misri, na afughanstan je, uislamu ni suruhisho au ni janga la matatizo??
 
haya mambo magumu sana,Mungu msaidie huyu kijana na kumpa moyo wa uvumilivu zaidi na kusamehe
 
Fukuza kabisa huyo ni msaliti yaani umemfukuza mdogo wako umemwacha mzinzi na msaliti ndani ya nyumba nakushauri mfukuze kabisa ushauri pia kumbuka kusali sana upo ktk wakati mgumu maishani ila yakupasa ushinde
 
Fukuza kabisa huyo ni msaliti yaani umemfukuza mdogo wako umemwacha mzinzi na msaliti ndani ya nyumba nakushauri mfukuze kabisa ushauri pia kumbuka kusali sana upo ktk wakati mgumu maishani ila yakupasa ushinde

asante mkuu
 
Kwenye uzinifu hata Kanisa linakubali kutengua ndoa. Achana nae. Usipoachana nae utaishi kwa shida sana moyoni mwako.

Achana nae. Hakuwa riziki yako!
 
Achana nae,wakiamua kulea mimba ye na hawara yake saw a,wakiamua kutoa sawa,wao ndo wazazi,il a achana nae,tena toa taarifa kanisan ndoa itavatilishwa
 
Back
Top Bottom